Wewe nenda ujerumani ukamsaidie babu yako slaa kuomba msaada wa pesa za M4C na pia eti kaidara ka chadema ka usalama kapewe mafunzo kwa mara nyingine tena na mjerumani ili mchukue dola 2015. hahahhahahahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa! ndoto ya mchanaNdio unavyohisi?Hata kam kuomba ni kubaya ila unachosema hapa kinamdhalilisha JK...ndiye kinara....M4C yenyewe inapata hela nyingi tuu kwa wananchi...Kufungia magazeti ni issue zenu ndogondogo tuu....mtafuga hadi facebook,tweeter, JF....na nyingine nyingi zitakazokuja kabla ya uchaguzi ili mdate vizuri?
Nakuhurumia sana bro. Sijui hujielewi au unafanya makusudi, ukweli unaujua ww bt its shame to argue on public as u didi here....tunafahamu chadema ni ya wakristo lakini si vyema kukubali hadharani namna hii. Pole sana