Government summons Mawio publishers

Government summons Mawio publishers

Freedom of press shouldn't be at the price of national security. The actions against the tabloid are totally justifiable.
 
Anai summon ya nini wakati ameshatoa hukumu kuwa waombe radhi?
huu ni upuuzi wa serikali. Kutumia rungu la habari maelezo kuwaziba wanahabari midomo!
Kilichosemwa ni ukweli mtu, ccm wameshindwa kuongoza nchi kwa uadilifu!

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Jamani mimi ninachokifahamu ni kwamba serikali imelionya gazeti la Mawio kwa kuichonganisha serikali na Wakristo. Kazi ya makanisa sio kuwachagukia watanzania waipende Chadema ama CUF. Gazeti la Mawiolinaongelea habari za kuwataka Wakristo kurudisha Kadi za CCM. Hatuwezi kuwa na viongozi wa Dini wanaothubutu kufanya hivyo. Hii ni nchi huru kweli lakini uhuru una wajibu.
 
Lizaboni sijui upeo wako wa uelewa wa mambo lakini kwa hili povu nahisi wewe ni wale wa Kawambwa waliofanyiwa mazingaombwe ya Matokeo.
Mawio imeripoti kilichojiri kwenye kikao cha viongozi wakikristo. Tangu habari ile itoke Alhamis umesikia Malasusa au Pengo au kiongozi yeyote wa huo umoja wa wakristo akikanusha? Silent means what?? Sada why blaming the reporter?

Huyo ni Nape.
 
Last edited by a moderator:
Freedom of press shouldn't be at the price of national security. The actions against the tabloid are totally justifiable.

Issue ni kweli hao wakristo/maaskofu wamesema hivyo?
If yes, then maaskofu ndio wanataka kugombanisha waumini wao na serikali. Sio gazeti.

Mbona ni rahisi tu, au kwavile common sense is no longer common to many of you.
 
uamuzi unaofanywa na makundi yoyote yale (ambayo ni halali) kujiunga na chadema hautakataliwa

mkuu nakuomba usikomenti chochote kuhusiana na hili.it's very sensitive issue.acha serikali wahangaike nalo wenyewe.getting yourself involved in this mess you will drag the party into the mud as well.it won't do chadema any good please.
 
Assah Mwambene ameanza kuwa unprofessional katika utendaji.

Sijui analifuatilia MAWIO kwa sababu ya hisia za mmiliki wake ama nini. Maana alisema alikatazwa kufanya kazi na watu fulani tena kwa kushauriwa kiudaku udaku tu na watu wenye ajenda zao za siri hadi wakaja kulifungia Mwanahalisi. Leo wanatafuta sababu ya kulifungia Mawio.

Je habari iliyoandikwa ni ya uongo? Ni lini wasomi wa nchi hii watatumia taaluma zao?

uanze wewe kutumia usomi kuepuka kutembea na sumu mfukoni
 
Wachungaji na maaskofu wa dunia hii ya Leo asilimia kubwa hawamjui Mungu wala kazi waliyoitiwa,wamejaa siasa nakudhani ndio wito wao,kila kukicha matamko badala ya Julia na roho za waumini zinazoangamia,,,poor pasta na bishops
 
Serikali inayo penda uongo ni hatari kwa maendeleo ya nchi.
 
Wao wache na fikra zao za kushoto tu!

CCM nyumba iliyofitinika...wakimkandia mtu wanaishia kumpromoti, wakiua na kusingizia mwingine...before hawajasema tayari ipo wazi ni wao...Wakipanga kudhuru wanadhuruika wao.
 
Hii serikali ya ccm imejaa mazuzu mojawapo ndio hilo la habari maelezo.
Viongozi wa dini waliotajwa hakuna hata mmmoja aliyekanusha habari iliyotolewa na gazeti la Mawio. Sasa hiki kiherehere cha Assah Mwambene kinatoka wapi kama sio uzuzu na kulewa mvinyo wa madaraka!?
 
Assah Mwambene ameanza kuwa unprofessional katika utendaji.Sijui analifuatilia MAWIO kwa sababu ya hisia za mmiliki wake ama nini. Maana alisema alikatazwa kufanya kazi na watu fulani tena kwa kushauriwa kiudaku udaku tu na watu wenye ajenda zao za siri hadi wakaja kulifungia Mwanahalisi. Leo wanatafuta sababu ya kulifungia Mawio.Je habari iliyoandikwa ni ya uongo? Ni lini wasomi wa nchi hii watatumia taaluma zao?
Nakuhurumia sana bro. Sijui hujielewi au unafanya makusudi, ukweli unaujua ww bt its shame to argue on public as u didi here....tunafahamu chadema ni ya wakristo lakini si vyema kukubali hadharani namna hii. Pole sana
 
Jamani mbona waliokwapua fedha za EPA hawaitwi kuhojiwa?
 
Assah Mwambene ameanza kuwa unprofessional katika utendaji.

Sijui analifuatilia MAWIO kwa sababu ya hisia za mmiliki wake ama nini. Maana alisema alikatazwa kufanya kazi na watu fulani tena kwa kushauriwa kiudaku udaku tu na watu wenye ajenda zao za siri hadi wakaja kulifungia Mwanahalisi. Leo wanatafuta sababu ya kulifungia Mawio.

Je habari iliyoandikwa ni ya uongo? Ni lini wasomi wa nchi hii watatumia taaluma zao?

Waende wakajibu tuhuma, Habari na Maelezo Jumatatu. Then tutajua
 
Wataumwa na roho sana, kwani siku hizi vijijini hata wazee waantoa hela wapewe copy ya documents zilizoprintiwa toka JF.

Kuna uwezekana pakawa na online media zinazoichukia CCM kabla ya uchaguzi na hazitokuwa na mipaka ya kutoa habari. CCM must die for Tanzania to get out of the ICU

Na mtahangaika sana humu JF lakini ikulu itakuwa ndoto kwenu , wewe na babu yako slaa ambaye mda huu yuko ujerumani anaomba pesa kwa ajili ya M4C. Na hayo magazeti yenu yatafungiwa tu. Wembe ni uleule.
 
The Director of Information, Mr Assah Mwambene, said in Dar es Salaam on Friday that on Thursday, the tabloid carried a story which was maliciously designed to incite the people against the government
and the ruling Chama Cha Mapinduzi (CCM).

In its June 6-12, issue number 0046, the tabloid carried a story on its front page with a headline reading:
“Madhehebu ya Kikristo Kuitenga Serikali — meaning Christian denominations to abandon the government.”

The newspaper added that effective next month, all Christian clerics including bishops and pastors would be delivering special messagesagainst the government and CCM.

“We are doing this because CCM has mishandled the country and enabled Chadema to take charge,” according to the article without attributing the claims to any sources.

The tabloid also carried photographs of the Catholic Archbishop of Dar es Salaam, Polycarp Cardinal Pengo and Bishop Alex Malasusa of the Evangelical Lutheran Church of Tanzania (ELCT). “Articles of this kind are very bad and dangerous.

We are going to take punitive measures against the publishers. We have summoned the publishers to report at Maelezo (Information Services Department) on Monday.

We have also directed them to apologise immediately,” Mr Mwambene said.

Source: Tanzania Daily News

Hawa watafungiwa tu. Ni swala la muda. manake wameanza vibaya, na ni walewaleeeeeeeeeeee..........
 
halafu ben kumbuka ile thread ya juzi iliyohusu makala hiyo. machadema wote mlililaani gazeti hilo ila kutokana na serikali kulionya mnaanza kulikingia kifua. mtu gani wewe ben? mbona unakuwa ndumilakuwili wewe? huna haibu na unachokiandika? unataka kuwaaminisha nini watanzania? au ndo msimamo wa chama chenu?

Lizaboni usipoteze muda wako bure. hawaelewagi hao . sasa hivi babu yao slaa yuko ujerumani anaomba pesa kwa ajili ya M4C. ni divisive politics tu, hakuna la muhimu kwa hao jamaa. Ikulu wataiota sana tu. wembe ni uleule.
 
Hii serikali ya ccm imejaa mazuzu mojawapo ndio hilo la habari maelezo.
Viongozi wa dini waliotajwa hakuna hata mmmoja aliyekanusha habari iliyotolewa na gazeti la Mawio. Sasa hiki kiherehere cha Assah Mwambene kinatoka wapi kama sio uzuzu na kulewa mvinyo wa madaraka!?

Mkuu kwa kuwa hakuna kiongozi aliyekanusha basi hao viongozi wa dini ya kikristo waliwaambia kweli waumini warudishe kadi za ccm. Na kama. Hivyo je hawa si wachochezi? Je wanatofauti na ponda kwa mazingira hayo?
 
Na mtahangaika sana humu JF lakini ikulu itakuwa ndoto kwenu , wewe na babu yako slaa ambaye mda huu yuko ujerumani anaomba pesa kwa ajili ya M4C. Na hayo magazeti yenu yatafungiwa tu. Wembe ni uleule.

Ndio unavyohisi?Hata kam kuomba ni kubaya ila unachosema hapa kinamdhalilisha JK...ndiye kinara....M4C yenyewe inapata hela nyingi tuu kwa wananchi...Kufungia magazeti ni issue zenu ndogondogo tuu....mtafuga hadi facebook,tweeter, JF....na nyingine nyingi zitakazokuja kabla ya uchaguzi ili mdate vizuri?
 
Anai summon ya nini wakati ameshatoa hukumu kuwa waombe radhi?
huu ni upuuzi wa serikali. Kutumia rungu la habari maelezo kuwaziba wanahabari midomo!
Kilichosemwa ni ukweli mtu, ccm wameshindwa kuongoza nchi kwa uadilifu!

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums

Huu nao ni upuuzi mwingine,

Hivi aliyesema wakristo wataitenga serikali ni MAWIO au ni JUKWAA LA WAKRISTO?

Mawio walilripoti tu, wawaambie JUKWAA LA WAKRISTO waombe radhi kama wanaubavu huo, kudadadeki, chezea wewe!!.
 
Back
Top Bottom