gikea
Member
- Jan 27, 2017
- 17
- 12
Nimesikiliza na kuangalia kazi yake youtube hakika amefanya kitu kikubwa hasa ujumbe wake,sauti nzuri na mpangilio mzuri wa vyombo (hongera kwa producer)
Video kafanya kwetu studios na msafiri nadhani, kwa wimbo wa kwanza kuanza hivi ni hatua sana na umeupa umeongeza thamani na "challenge" kwenye industry ya gospel.
Link hiyo hapo wakuu

Video kafanya kwetu studios na msafiri nadhani, kwa wimbo wa kwanza kuanza hivi ni hatua sana na umeupa umeongeza thamani na "challenge" kwenye industry ya gospel.
Link hiyo hapo wakuu