Tiba
JF-Expert Member
- Jul 15, 2008
- 4,604
- 3,163
Kuna mabo mengine yanamshangaza kila mwenye kufikiri kwa kutumia kwa akili. Juzi madam speaker alisema aliwakataza wabunge kwenda kutafuta mawazo ya wananchi juu ya mswada. Kama nitakumbuka vizuri alisema "niliwazuia kwenda hata ulaya si mikoani tu". Sasa huyu the so called mbunge wa Karagwe alikusanya maoni kwa amri ya nani? Pili kama sikosei Blandes alikuwa kwenye tume ya Jairo muda wote huo. Sasa hayo maoni aliyakusanya lini na wapi? Hakuna sheria ya wapiga kura kum~vote out mbunge anayewasingizia?
Huyu jamaa anayeitwa Blandes namfahamu kwa karibu lakini ukweli ni kwamba he is just a disgrace kwa watu wa Karagwe!!!
Tiba