Kutoka Mbeya, George Mwakalinga aliyekuwa Mgombea Ubunge Jimbo la Mwakyembe la Kyela mkoani Mbeya, amehamia CHADEMA Muda sio mrefu.
yani watu kuhamia upande wenu haimaanishi ndio ushindi au ndio kukubalika. Angalieni watu mnaowapokea kuanzia mgombea wenu wa urais ni watu wa namna gani katika jamii?. Wengi wao ni mafisadi na walioshindwa katika kura za maoni na kukimbilia kwenu.
Jamani chama chetu c.c.m kinaelekea wapi?
Things Fall Apart
Dan, huyu ndugu yangu wa damu alikuwa ni CCM hasa yaani wa damu na tayari kufia CCM.......
Nimepata habari kuwa tayari kashapewa ticket ya kugombea kwa kupitia UKAWA......
Kweli mwisho wa CCM ni mwaka huu.....
sasa naomba kufahamishwa kiasi cha pesa kinachotakiwa na Tcra ili kuiruhusu kyela fm kuendelea na matangazo , mimi na marafiki zangu tuko tayari kulipa .
Ni vizuri pia kupata wasifu wa huyu mtu; je, anafahamika kiasi cha kuwa "breaking news". Alikuwa na uzito gani kisiasa na kiuongozi? Na ataongeza thamani gani CHADEMA wakati huu? Sidhani kila (mtu binafsi) anayehamia CHADEMA ni "habari".
Atasaidiaje wananchi akiwa kwenye lichama la wanyonyaji Ccm? Amekuja kwa makamanda ili kuongeza jeshi nguvuLazima mjiulize hao wanaohama ni kwa maslahi ya wananchi au ya kibinafsi? Kumbuka wote waliohama wakiongozwa na EL wanatoa sababu za kuwa hawakutendewa haki katika kupata madaraka, hakuna aliyesema kahama ili kusaidia wananchi.
CDM inaelekea kugeuka CCM B kwani tutashindwa kutofautisha kati ya vyama hivyo viwili kipi ni kipi. Watu ni wale wale waliocheza segere wakati wa kupitisha katiba pendekezwa iliyopelekea kuundwa kwa UKAWA. Kama kweli wangekua na nia ya dhati ya uchungu kwa taifa letu wangeionyesha kwenye bunge la katiba kama alivyofanya mwanasheria wa Zanzibar. Hao wengine ni watafuta ulaji tu wala sio wanamageuzi.
Alikatwa?
Kura za maoni aliishia kupata kura elfu 4 huku Mwakyembe akiondoka na kura elfu 15.
Kama Chadema wamempa ugombea basi ni dhahiri kuwa ugombea Chadema unauzwa kwa pesa maana waliishafanya kura za maoni Chadema,na majina matatu yalipatikana.
Sasa kama Chadema inawakata wagombea wake watatu waliokipigania Chama miaka yote kwa ajili ya kapi linalodandia treni keenye uchaguzi baada ya kushindwa kura za maoni CCM basi Chadema kweli haiwatendei haki watu wake.
Ni vizuri pia kupata wasifu wa huyu mtu; je, anafahamika kiasi cha kuwa "breaking news". Alikuwa na uzito gani kisiasa na kiuongozi? Na ataongeza thamani gani CHADEMA wakati huu? Sidhani kila (mtu binafsi) anayehamia CHADEMA ni "habari".
Kura zipi hii onayolalamikiwa kila eneoyani watu kuhamia upande wenu haimaanishi ndio ushindi au ndio kukubalika. Angalieni watu mnaowapokea kuanzia mgombea wenu wa urais ni watu wa namna gani katika jamii?. Wengi wao ni mafisadi na walioshindwa katika kura za maoni na kukimbilia kwenu.
Hawaji cdm kutafuta vyeo kwani tulishamaliza kura za maoni.wanakuja kuongeza nguvu ili mabadiliko ya kweli yapatikane