google.

google.

General mex

Senior Member
Joined
May 1, 2011
Posts
158
Reaction score
187
baba: yaan nyie watoto wa siku hizi siwaelewi kabisa, sijui mna matatizo gan,!
mtoto:kwa nini baba?
baba:kila kitu google, mkiulizwa kitu kidogo tu mnakimbilia ku google, ni kwa nini?
mtoto:ngoja nika google halafu nitakujibu.
 
Generation gap. Baba anatumia Internal Brain. Watoto wanatumia External Brain.
 
Back
Top Bottom