Google search: Tundu Lissu amkaribia Donald Trump

Google search: Tundu Lissu amkaribia Donald Trump

Mkuu kama hujui kitu uliza ili ufafanuliwe badala ya kukurupuka.

watanzania wenyewe hawafiki million 82,
7ae.png
 
Huyo Tundu Lisu tangu jana ameufyata. Sijamsikia akirudia tena vile vijimaneno vyake.
Yule dkt Alcoholic Dadaaa wa Uganda kapotea sana kwenye vyombo vya habari hatakuwa anamuwaza Jembe wa Singida
 
Vijana wa Chadema wameishiwa Hoja.. Basi shetani ana umaarufu zaidi
 
Yule dkt Alcoholic Dadaaa wa Uganda kapotea sana kwenye vyombo vya habari hatakuwa anamuwaza Jembe wa Singida
Lakini Tundu Lisu kwa sasa ameufyata mkia na harudii tena vile vijimaneno vyake. Nidhamu inamrudia.
 
Hata Kwa Takwimu Za JF, Tundu Lissu Ametajwa Kumshinda Hata Mkulu Katika Thread Kibao
 
Back
Top Bottom