google playstore sasa yafikisha apps 1,000,000

google playstore sasa yafikisha apps 1,000,000

mkuu Black Berry Os ya Zaman Na Hii Black Berry 10 N Os Ambazo Znatofautiana Sana sidhan Kama Hata App Za Bb Ya Zaman Znaingia Kwenye Bb Mpya.... bb10 Ni QNX (Unix-like ) Os ... sjui Programing so Hapa Nashindwa Kuelewa inatofaut gani Na Linux based os kama Meego, Jolla, na Androids Ila Nshawah Skia Developers wa hii na meego n wa 1!!

Maybe Chief atufafanulie tofaut ya Linux based na Unix Based

unix ni mama linux ni mtoto hawa kina androdi, meego, ubuntu ndo kama wajukuu sasa. kutokea unix ikatoka linux na kutokea linux zikatoka ubuntu na android.

bb mpya ina element hizo ndio japo wenyewe wanaficha ficha na ndio mana bb hawatengenezi app from scratch wanaziport tu toka android
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom