google playstore sasa yafikisha apps 1,000,000

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined
May 25, 2011
Posts
32,279
Reaction score
44,416
katika uzinduzi wa nexus mpya leo head wa android sundar pichai alitangaza kua playstore imefikisha application million 1 so list inakaa kama hv
1. android 1,000,000+
2. ios 900,000+
3. wp 165,000+
4. bb10 100,000+

wewe unaonaje?
 
Hapo kwenye Android ni fujo kama uswahilini vile. Zipo Apps nzuri lakini kunamataka taka ya kumwaga
BB na iOs nawaaminia Apps zao viwango
 
Nakuomba uthbtishe kwa mifano mkuu,ucje ukawa umemeza huko
 
Hapo kwenye Android ni fujo kama uswahilini vile. Zipo Apps nzuri lakini kunamataka taka ya kumwaga
BB na iOs nawaaminia Apps zao viwango
bb sawa tena bb ya zamani sio hii mpya ila ios takataka pia zipo sku hz japo si nyingi kama android
 
katika uzinduzi wa nexus mpya leo head wa android sundar pichai alitangaza kua playstore imefikisha application million 1 so list inakaa kama hv
1. android 1,000,000+
2. ios 900,000+
3. wp 165,000+
4. bb10 100,000+

wewe unaonaje?

Me naona huu ni upuuzi tupu kutoka Google 1Mil apps just kupata sifa tu ukiangalia kwa makini utaona valuable apps hazizidi hata 400k pia ikumbukwe kua Themes nazo zinahesabiwa kama ni apps, ukiangalia
Go Launcher ina themes ngapi?
Go SMS ina themes ngapi?
Apollo Music player nayo ina themes ngapi?
bado kuna themes za custom roms ngapi??
pia okumbukwe live wallpaper nazo ni apps,
pia kuna app moja ina version mbili ya free na pro.
alafu wanatwambia 1Million apps in Play Store. kazi kwelikweli
 
pia Ukija Frames Za Instagram Mara Insta love Mara Instafollow Bado Ucbrowser Zpo Kadhaa mle
 
bb sawa tena bb ya zamani sio hii mpya ila ios takataka pia zipo sku hz japo si nyingi kama android
mkuu kuna kipindi ulisema android wanondoa app matakataka kwenye playstore!,hasa haya mngine yanatokezea wapi tena?
 
yap na juzi juzi walikata apps 60,000 kwa mpigo lakini still takataka hazikosekan watu wanataka hela.

mfano ngoja nikupe experience yangu ya symbian na android. kwenye symbian kuna app inaitwa flipfont ipo moja tu unainstall font kwenye hio app then unaaply kwenye simu. hii app ina font nyingi sana huwez hata kuzihesabu haraka haraka.

kwenye android mambo ni tofauti font ndio application yani unakuta kapack ka font 5 ni apps hiyo tena za developer mmoja. unakuta developer ana app 100 zote ni font wakati angeweza kufanya iwe app moja.

pia taka taka zinakuja pale kitu kinapokua hakipo store. mfano search lord of the ring (hakuna game lake store) utaona kuna upuuz wa kutosha unakuja.

na hata ukisearch kitu maarufu kama asphalt 5,6 (adrenaline),7(heat) app original inakuja juu halafu chini utaona viapp vya ajabu ajabu sjui asphalt cheats ukidownload ukiopen hamna kitu.

mengine kayataja ningar
-wanacount trial na ya kulipia separate (wakati ni moja)
-live walpaper na themes wanahesabu kama apps
 
BASI KAMA HIVYO GOOGLE KAZI WANAYO!!! matakataka hayatoisha tatizo watu wengi wanapenda kudownload hata kama mtu hajui hii ni app gani na inafanya kazi gani ilimradi akishaona jina maarufu au ambalo aalishalisikia yeye anadownload tu,wakti kuna vitu vya kuangalikimojawapo ni namba za downloads na hiyo app imekuwa ranked nyota ngapi!!!
 
mf app ya solar charger haifanyi kazi
Hii ap wanakuambia kwamba inacharge simu kwa kutumia solar na wengi wamedanganywa hiyo ila in reality ni uongo haicharge kuthibitisha hilo fungua app yao nenda setting alfu ingia help watakuandikia ujumbe kwamba hii ni fake app!!! dont waste your time
 
Hahaaaaa Hapo Umenichekesha Sana
 
Ha ha haaa!!! Hadi BB imepitwa na Windows Phone? Ni balaa hili.

bb mpya mkuu imetoka mwaka huu mwanzoni. zote bb na windows phone zinafanya vizuri maana hazijasherehekea hata birthday moda ila zimevuka laki 1
 
Kwani BB si ni blackberry? Au mimi sijaelewa?

mkuu Black Berry Os ya Zaman Na Hii Black Berry 10 N Os Ambazo Znatofautiana Sana sidhan Kama Hata App Za Bb Ya Zaman Znaingia Kwenye Bb Mpya.... bb10 Ni QNX (Unix-like ) Os ... sjui Programing so Hapa Nashindwa Kuelewa inatofaut gani Na Linux based os kama Meego, Jolla, na Androids Ila Nshawah Skia Developers wa hii na meego n wa 1!!

Maybe Chief atufafanulie tofaut ya Linux based na Unix Based
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom