under_score
Senior Member
- Nov 2, 2011
- 190
- 45
- Thread starter
- #21
fanya hivi nenda setting halafu more network halafu mobile network halafu access point
angalia hapo kuna nini?
kama hakuna kitu au kuna wap au web inabidi utengeneze access point mpya.
bonyeza button ya chini kabisa kushoto chagua new apn.
connection name andika jf
apn andika internet
bonyeza back button halafu activate jf iwe active kwa kuiekea alama ya duara kwa mbele
then ingia playstore uangalie kama tatizo limeisha
Screenshorts