Google pixel camera ni fire aisee

Google pixel camera ni fire aisee

Ipo playstore? Nitaipataje naomba link
plyastore haipo maana ina configuration zake ni noma kwa nyie wengine ila google pixel unaikuta kama kwaida hain huitaji wa kudownload
 
Kwa bongo naweza ipataje mkuu?!
Hizo simu kuanzia 2mpka four zote ni used akuna mpya sijajua kariakoo zipo ila watakuuzia aje nimeziona ebay zinakwenda adi dola 70hivi kwahio 3a na 3 kama mjuzi agiza huko, pia nimeona 3xl na taobao moja inauzwa dola 108 kwa nina mpango wa kuagiza huko.
Note hazitunz chaji, ni pure android hivo udambwi dambwi mwingi hazina ila ni very smooth na ni flagship kwa baadhi
 
Nimeigoogle pixel6 imenipendeza vipi kuhusu chaji nataka niiagize?
 
Hizo simu kuanzia 2mpka four zote ni used akuna mpya sijajua kariakoo zipo ila watakuuzia aje nimeziona ebay zinakwenda adi dola 70hivi kwahio 3a na 3 kama mjuzi agiza huko, pia nimeona 3xl na taobao moja inauzwa dola 108 kwa nina mpango wa kuagiza huko.
Note hazitunz chaji, ni pure android hivo udambwi dambwi mwingi hazina ila ni very smooth na ni flagship kwa baadhi
Mimi nina 3a inakaa na chaji vizuri sana tu mbona.
 
Light use mzee sio heavy duty na note kabisa huwez ipiga masaa ata saba uko net mfululizo hio simu
masaa saba tena mtandaoni mkuu yangu ina mwezi wa 5 na nilikuw natumia hyo note 8 naona bora hii pixel kwa kweli na sijawai kukaa kweny net hata msaa 5 sijui nifanya nin ila sasa pixel mi mtu wa photo nainjoy sana yaani n nimeipta very cheap
 
Ndio mana nikasema kua kama una nunua as main phone yako jipange manake ukitumia staff mingi inakuchosha mie mwenyewe nanunua kwa matumiz madogo tu kama simu yang ya pili, hio sound yake ni dope nzuri sana pia feature zake kawagie ata maji hakaharibiki kiongozi

Pia kumbuka simu ni single line japo ina eSim kitu ambayo haipo bongo so laini moja kwa bongo sio inshu kwani mitandao yetu ina tofautiana sana upande wa huduma za kimtandao hivo kua na laini nyingi haiepukiki,
 
masaa saba tena mtandaoni mkuu yangu ina mwezi wa 5 na nilikuw natumia hyo note 8 naona bora hii pixel kwa kweli na sijawai kukaa kweny net hata msaa 5 sijui nifanya nin ila sasa pixel mi mtu wa photo nainjoy sana yaani n nimeipta very cheap

Mkuu, iyo google pixels nimeingia playstore sijafanikisha. Waweza ni2mia picha yake jinsi ilivyo?
 
Ndio mana nikasema kua kama una nunua as main phone yako jipange manake ukitumia staff mingi inakuchosha mie mwenyewe nanunua kwa matumiz madogo tu kama simu yang ya pili, hio sound yake ni dope nzuri sana pia feature zake kawagie ata maji hakaharibiki kiongozi
sauti ipo clear ebhan wamjitahidi ila najua izi simu zitakuja kuwa za wadada maana wanavyopenda camera. watu wan mpaka s9 plus ina wananiita niwapige picha gallery imejaa picha za wadada 😂😂😂😂
 
Hizo simu kuanzia 2mpka four zote ni used akuna mpya sijajua kariakoo zipo ila watakuuzia aje nimeziona ebay zinakwenda adi dola 70hivi kwahio 3a na 3 kama mjuzi agiza huko, pia nimeona 3xl na taobao moja inauzwa dola 108 kwa nina mpango wa kuagiza huko.
Note hazitunz chaji, ni pure android hivo udambwi dambwi mwingi hazina ila ni very smooth na ni flagship kwa baadhi
Mpya ni 5a ni 6a tu chini ya hapo ni used but zote camera zake ni mashinrle
 
Back
Top Bottom