Google pixel 6 plain dhidi ya IPhone 11 plain nani mkali zaidi naomba kupata ufafanuzi nataka kuchukua mojawapo ya hizo brand

Na ya kwenye iPhone 11, basi piga picha ukiwa umeishika hiyo object mkononi hivyohivyo na ui-expose kwenye mwanga wa jua kama ulivyofanya kwenye Pixel, walau comparison iwe fair
Mkuu hata akifanya hivyo bado pixel itampa picha nzuri zaid. Rafiki angu ana 11pro lakini kwa kweli sioni maajabu sana kwenye picha zake nikifananisha na kimeo changu, au labda mahaba yamenizidi. Mwingine ana xs max huyu naon picha zake kila akipiga anaeka vivid zinakuwa zinakolea rangiiii!!
 
Hapana, sikuwa na maana akifanya hivyo iPhone 11 itakuwa na picha kali zaidi kwa sababu hata hajasema ni Google Pixel ipi anaitumia.
Nilitaka aweke picha ziwe sawa ili comparison iwe fair zaidi, ndio ataweza kutushawishi kuona utofauti vizuri zaidi.
 
Na ya kwenye iPhone 11, basi piga picha ukiwa umeishika hiyo object mkononi hivyohivyo na ui-expose kwenye mwanga wa jua kama ulivyofanya kwenye Pixel, walau comparison iwe fair

IMG_5908.jpg

Inakua imepoa sanaa
 
Pixel 4a je? Upande wa battery.
Google Pixel inayokaa na chaji ni Google Pixel 5A
Hii 4A hata haitunzi chaji kihivyo Ila ni simu nzuri sana kama unataka display kali, kamera bomba, clean software, speaker nzuri n.k
Kama issue ni suala la battery tafuta Redmi au Samsung A-series

Kama unataka refurbished basi chukua hiyo kwa bei ya chini ya laki 4 Ila usitegemee makubwa kwenye chaji. Sony Xperia XZ3 pia ni chaguo zuri Tu kwa refurbished za laki 3 kamili
Hii ni Sony Xperia XZ3
gsmarena_008.jpg
 
Pixel 4a je? Upande wa battery.
Wapo vizuri mana nmetumia 3a 3xl na 4a nmeona 3xl ndo kidogo chaj haikai Sana km 3a na 4a mana zenyew ukiwa online siku nzm unatumia Bila kuzma data lakn 3xl itakata Tu katikata ya siku, Ila 3a na 4a zilkua znahimil Sana na ucpowasha data kbsa unatumia siku 2 mpk tatu kbsa km ni kuongea na kuchat tu, lakin kwenye camera ni mwisho zpo gud Tu zote hazina tabu kuanzia 3 3a 3xl 4a 4xl hamna pixel ambyo camera yake ni mbovu zote znatoa ktu oriji.....
 
Google Pixel inayokaa na chaji ni Google Pixel 5A
Hii 4A hata haitunzi chaji kihivyo Ila ni simu nzuri sana kama unataka display kali, kamera bomba, clean software, speaker nzuri n.k
Kama issue ni suala la battery tafuta Redmi au Samsung A-series

Kama unataka refurbished basi chukua hiyo kwa bei ya chini ya laki 4 Ila usitegemee makubwa kwenye chaji. Sony Xperia XZ3 pia ni chaguo zuri Tu kwa refurbished za laki 3 kamili
Hii ni Sony Xperia XZ3 View attachment 2600056
Nimechek Gsmarena watu wameiponda sana pixel 6 eneo la Sensor ya Fingerprint, Display, Network n.k

Umewahi miliki hii kitu au kupata maoni ya watu kuhusu aina hii ya Pixel?
 
Wapo vizuri mana nmetumia 3a 3xl na 4a nmeona 3xl ndo kidogo chaj haikai Sana km 3a na 4a mana zenyew ukiwa online siku nzm unatumia Bila kuzma data lakn 3xl itakata Tu katikata ya siku, Ila 3a na 4a zilkua znahimil Sana na ucpowasha data kbsa unatumia siku 2 mpk tatu kbsa km ni kuongea na kuchat tu, lakin kwenye camera ni mwisho zpo gud Tu zote hazina tabu kuanzia 3 3a 3xl 4a 4xl hamna pixel ambyo camera yake ni mbovu zote znatoa ktu oriji.....
Ngoja niichek hii 4a.
 
Back
Top Bottom