AXIOM APEX VERBOSE
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 12,213
- 20,462
Subiri jioni ifike giza liingie ntakuletea hapaShekhe ivi unaelewa maana yahizo picha ebu tafuta hiyo pixel kwanzia 1 mpaka 6 pro piga picha kama hizo alafu zilete hapa usituletee story za kwenye ghahawa hapa lete picha hizo clear [emoji23][emoji23][emoji23]
Subiri jioni ifike giza liingie ntakuletea hapa
π²ππ Unataka ligi wewe si umesema unataka za usiku km huyo Jamaa yako au sijakuelewa vizuri?Haina haja ya giza kaka piga hata sasahivi tu na mimi nichukue za mchana tulinganishe tu
[emoji44][emoji23][emoji23] Unataka ligi wewe si umesema unataka za usiku km huyo Jamaa yako au sijakuelewa vizuri?
Huyu SI yule njiwa wa flow yupo TwitterShekhe nimempa huyo homework nasubiria majibu asilimia kubwa kwasasa kila simu ina telephoto View attachment 2394474
View attachment 2394475
Hizi picha zimepigwa na mtanzania mwenzetu mitaa ya gerezani with huawei p40 pro 5G simu ya 2020 anaitwa james munisi nampana hongera sana kwakutupa picha inayo onesha kazi halisi ya telephoto
Wewe usijipime uwezo na pixel mkuu utachanika msamba tena usijaribu kabisa
View attachment 2394537
Sio camera zenu hizo hio ni pixel
Huyu SI yule njiwa wa flow yupo Twitter
Wewe picha zako ni chenga hakuna picha hapo watu hawaonekani hao mipicha gani hio unajitia aibu tupu mchana huu, sasa picha gani za kujishindanisha na pixel hizo yaan picha zimejaa ukungu watu hawaonekani vizuri eti unajisifia una camera wewe wa wapi?Kweli unakurupuka shekhe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] shule muhimu sana ebu kakojoe ukalale huko aje mwingine ambae anaelewa namaanisha mimi
Ivi unafaham sababu iphone simu zao hazishuki thamani na unapoichoka unaweza fanya top up na simu yoyote Ile.Niujuaji mwingi bila kufanya review za simu nakujua uwezo kiufupi android zipo vizuri nawengi tunatumia iphone kwakuwa hazishuki thamani kiolela olela ila kama samsung S22 ultra ni jini la simu zote kwenye soko kwanza kwakuwa tu huawei kachapa na mabepari
Iphone 11 walibuki Ile ni 7+ ilio changamka Ila ukiniwekea 11 na xs nachukua xs kwanza ugonjwa wangu mkuu wa simu iwe na display kaliii Yani AMOLED,OLED,p oled nna Bora nibaki na kitochi kuliko kutumia simu yenye LCD displayPixel kwenye kamera ni hatari
mtajua wenyewe
pixel ya 300k kwenye kamera inashindana na i phone 11 hutaki tunaleta ushahidi hapa
Ivi unafaham sababu iphone simu zao hazishuki thamani na unapoichoka unaweza fanya top up na simu yoyote Ile.
Kwanza ni simu ambazo hazina muda ni 2009 tu ndio walitoa Toleo la kwanza so series zao SI nyingi tofaut na Samsung Wana series zaidi ya 64 Hadi Sasa...
Pia apple simu zao ziko branded kwa muda mrefu katika masoko Yao na hawatoi toi miendelezo kiholela kama Samsung labda niseme Hawana series tofaut tofaut mfano Samsung Wana ,S,note, J,A,M,series na zinginezo sijazitaja ukiitaji kuziona ingia GSMARENA zipo.
SwadaktaHapa nipo pamoja nawewe ndugu iphone ni brand ila ukiitaji simu android ni best [emoji1488]
Nmeshangaa Jamaa anataka tubishane wakati ukweli anaujuaUzi umegeuka kuwa wa ubishani wa 'kamera zenye simu'
Ebana zinapatikana wapi izo hapa darBasi hujui simu google pixel ni hatar sema iphone ni brand kubwa mpaka ije kuwa na mauzo kama iphone ni miaka kadhaa mbele ,kwa performance google pixel ni namba moja kila kona sema hardware ndo wanazingua ila software ni hatari π₯π₯π₯
Jaribu mzee utakuja kubadili statement yako
Wewe picha zako ni chenga hakuna picha hapo watu hawaonekani hao mipicha gani hio unajitia aibu tupu mchana huu, sasa picha gani za kujishindanisha na pixel hizo yaan picha zimejaa ukungu watu hawaonekani vizuri eti unajisifia una camera wewe wa wapi?
View attachment 2394539
Ukungu mtupu haipo clear
View attachment 2394542
Sijaelewa hapo mkuu hiko nini?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]inaonekana ππΏhutumie pixel 6 pro ndomaana huwezi elewa namaanisha nini
Sijaelewa hapo mkuu hiko nini?
Anyway mambo yasiwe mengi baki na kile unachokiamini ila ukweli unaujua
Hivi hii 7 inaweza kuwa kiasi gani Dar?Inamaana pixel 6 pro huijui kaka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]