[emoji16][emoji16][emoji16] waje waje hata wa x,XR,xs,xs max waje tuwachape na picha za night sight najua hawana ubavu kwa picha za usiku kutoa kitu clear kwenye giza bila kutumia flashlight.oyaa mnaitwa mtoe hizo iphone 6plus, 7 plus, 8 plus mpambane na 3
Alafu mtanange utaendelea
Iphone x vs pixel 4a
iphone xr vs pixel 4
iphone 11 vs pixel 4 xl
iphone 11 pro vs pixel 5a 5g
iphone 13 vs pixel 6 & 6pro
Alafu 14 vs pixel 7
nimekaaa paleeeee
You're right Mr na umemaliza kila kitu.Pixel 6 pro is better than iphone 13 . Narudia tena in today's world of smart phones watu wanataka
1. Good quality camera (its all about pictures)
2. Simplicity (no limits)
3. Design (look)
4. RAM
5. Battery life
Kwenye hayo maeneo hapo juu ni kipi iphone 13 wamemshinda google pixel 6 pro? hakunaView attachment 2393979
Unyama sana asee me nilijuaga uwa ni zoom lens tu kumbe kuna hiyo telephoto lens ambayo unyama wake nimeona sio wa nchi hii[emoji119]Ni balaaa Pixel 6 Ina kitu inaitwa telephoto kagoogle kazi yake uje uwashuhudie Wana iphone.
wamekimbia[emoji16][emoji16][emoji16] waje waje hata wa x,XR,xs,xs max waje tuwachape na picha za night sight najua hawana ubavu kwa picha za usiku kutoa kitu clear kwenye giza bila kutumia flashlight.
wewe unataja taka taka kwenye list ya pixels yaani unaongelea one plus na p40 kwenye ulimwengu wa pixel? Are you serios bro? unafananisha taka taka na Android ya kwanza kupokea Android 13 na newly security updates? bro hujui simu, unajua telephoto ni nini? au basiIphone na samsung hawakufika hapa kwakuotea au kubahatisha tu ukiongelea picha tu kuna kitu kinaitwa huawei p40 pro na one plus 10 pro kama hujawahi kutumia hizi ndoutaisifia hiyo pixel 6 pro ila kama umezishika zote kwapamoja basi unaweza kuelewa nachomaanisha kiufupi iphone wengi tunazipenda kwakuwa ni rahisi sana kuziuza na ningumu sana kushuka thamani mfano tu mpaka leo hakuna smartphone ya 2014 ipo kwenye maduka ya simu nawatu wananunua kama mpya bila shida ukitoa iphone 6 nk na zinafanya vizuri kuzidi hata simu za 2018 kiufupi iphone ni iphone tu leo iphone 6 ipo sokoni ila Samsung S4 haijulikani ilipo miaka hii 2014 hakuna hata harufu ya pixel hakuna
sijui kwanini wanabishana na ngumi ndoige[emoji16][emoji16][emoji16] waje waje hata wa x,XR,xs,xs max waje tuwachape na picha za night sight najua hawana ubavu kwa picha za usiku kutoa kitu clear kwenye giza bila kutumia flashlight.
Mkuuu night sight ya pixel tukiweka na telephoto inayopatikana kwenye 6 ndo tumewaacha mbalisijui kwanini wanabishana na ngumi ndoige
Ninachokiona wengi hawajawahi kitumia pixel mpaka kuna watu wanataja iphone 6 jamani si dharau hii? Wakumbuke kuwa google ndio competitor mkubwa wa AppleMkuuu night sight ya pixel tukiweka na telephoto inayopatikana kwenye 6 ndo tumewaacha mbali
iOS users wabishi mno ila nawapa miaka 3 google atawachapa parefu sana.Ninachokiona wengi hawajawahi kitumia pixel mpaka kuna watu wanataja iphone 6 jamani si dharau hii? Wakumbuke kuwa google ndio competitor mkubwa wa Apple
-drive
-photo
-busimess
-location & map
-doc
-many more
-download music (share)
Apple
-icloud
-map (not accurate bongo)
-photos (limited storage)
- [emoji16]
- Download music in app (cant share)
Ongezea na robo.Google pixel Ni simu na nusu
M naamini saii unaiita android calculator ila si ajabu ulitokea huko labda nikufahamishe kitu hao hao Apple wanatengenezewa display na Samsung ambao ni android unazoziita calculator bado Apple mnaendelea kutumia search engine ya android ambayo ni google[emoji2] na mpaka sasa Duniani haijatokea search engine ya kuifikia google Apple walitangaza kuachana na google lakini Hadi Leo ipo humo kwenye safari[emoji706]Hiv kwanin watumiaji wa iphone huwa hatuanzishi uzi tukisifia simu zetu..? Ila watumiaji wa calculator za android ndio huwa wanatoa misuli ya shingo wakipambana na ubishi..?
Waueeeeee[emoji1]M naamini saii unaiita android calculator ila si ajabu ulitokea huko labda nikufahamishe kitu hao hao Apple wanatengenezewa display na Samsung ambao ni android unazoziita calculator bado Apple mnaendelea kutumia search engine ya android ambayo ni google[emoji2] na mpaka sasa Duniani haijatokea search engine ya kuifikia google Apple walitangaza kuachana na google lakini Hadi Leo ipo humo kwenye safari[emoji706]
Yani iphone Hadi ajitegemee bado sana na Leo designer wao Evans Hankey ameacha kazi na Apple Hadi Sasa hawajatangaza mrithi ajaye.
Aje na kingine
Zipe miaaka 100 mbele. Zitajifia kifo chema.Kampuni yangu pendwa google naipa miaka 3 mbele iatazichapa hizo iphone zenu Hadi mtashangaaa tusubiri muda.
Actually camera ya pixel ni ya kawaida sana. Ila software processing ndo maajabu yalipo.Pixel 6 pro is better than iphone 13 . Narudia tena in today's world of smart phones watu wanataka
1. Good quality camera (its all about pictures)
2. Simplicity (no limits)
3. Design (look)
4. RAM
5. Battery life
Kwenye hayo maeneo hapo juu ni kipi iphone 13 wamemshinda google pixel 6 pro? hakunaView attachment 2393979
wewe unataja taka taka kwenye list ya pixels yaani unaongelea one plus na p40 kwenye ulimwengu wa pixel? Are you serios bro? unafananisha taka taka na Android ya kwanza kupokea Android 13 na newly security updates? bro hujui simu, unajua telephoto ni nini? au basi