Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 26,529
- 61,939
Ipi kali kati ya googke pixel 5 na 5a?Achana na hii kitu, kama una bajeti ya kununua iphone 11 au 12 please pita kwanza uchukue pixel halafu ukirudi tena kwenye iphone niite mbwa nimekaa paleee
View attachment 2380916View attachment 2380917
Ungetuma na link inayoonesha hizo takataka kwanza tuikosoe hiyo website, sio unatuletea screenshoots tuWe take the throne after one year, if dont see xiaomi it might be in the TECNO groupView attachment 2470786
Kaka xiaomi sio simu ya ku-compete na Samsung, iphone wala pixel, It is not even in top five ya top phones duniani. Tafuta websites zinazo compare simu based on reviews za watumiaji kama utaona hiyo xiaomi yako.Ungetuma na link inayoonesha hizo takataka kwanza tuikosoe hiyo website, sio unatuletea screenshoots tu
Samsung Galaxy S22 Ultra na kaka yake Google Pixel 7 Pro wote wamekalishwa chini na Xiaomi 12S Ultra na Xiaomi 13Pro. Nenda kazipambanishe kupitia website yoyote ile unayoijua na sio kuangalia list ambazo hata mimi naweza kuandaa[emoji38][emoji38]
Google, kila website ina list yake na mara nyingi wanatengeneza list hizo kulingana na mapenzi yao wenyewe au availability kwenye market.
Lakini ukizipambanisha hizo simu utagundua hapo wa kumpita Xiaomi 13 Pro ni iPhone 14 Pro Max tu. Hta benchmarks zinaonesha
Endelea kuamini hizo list, sijui umeiokotea wapi[emoji38][emoji38]
Pixel 5 has more RAM, a display with a higher refresh rate, and wireless as well as reverse wireless charging. It also sports better water protection with its IP68 rating and supports mmWave 5G technology. 5 A maana yake 5 average HIVYO go for 5Ipi kali kati ya googke pixel 5 na 5a?
Blind Smartphone Camera victory zimeongoza simu za google pixel. Pixel 6a na pixel 7.Ungetuma na link inayoonesha hizo takataka kwanza tuikosoe hiyo website, sio unatuletea screenshoots tu
Samsung Galaxy S22 Ultra na kaka yake Google Pixel 7 Pro wote wamekalishwa chini na Xiaomi 12S Ultra na Xiaomi 13Pro. Nenda kazipambanishe kupitia website yoyote ile unayoijua na sio kuangalia list ambazo hata mimi naweza kuandaa[emoji38][emoji38]
Google, kila website ina list yake na mara nyingi wanatengeneza list hizo kulingana na mapenzi yao wenyewe au availability kwenye market.
Lakini ukizipambanisha hizo simu utagundua hapo wa kumpita Xiaomi 13 Pro ni iPhone 14 Pro Max tu. Hta benchmarks zinaonesha
Endelea kuamini hizo list, sijui umeiokotea wapi[emoji38][emoji38]
Kumbe list yenyewe inaangalia user's review ambazo mtu anacomment anavyojisikia[emoji38][emoji38]. Sasa mbona ulikuwa unatuambia hiyo ni list ya simu bora dunianiKaka xiaomi sio simu ya ku-compete na Samsung, iphone wala pixel, It is not even in top five ya top phones duniani. Tafuta websites zinazo compare simu based on reviews za watumiaji kama utaona hiyo xiaomi yako.
Based on Users review, best phones
1. Iphone 14 pro
2. Gogle pixel 7 pro
2. Samsung 22 ultra na Z fold
Xiaomi is not even close.
Nenda kafanye homework ukusanye reviews za watumiaji maana wewe hutumii hizo simu hapo
Ipo hivi, kwenye camera ni tie, hakuna mshindi.Blind Smartphone Camera victory zimeongoza simu za google pixel. Pixel 6a na pixel 7.
Sasa hiyo xiaomi imezipiku hizo camera wapi?
Ipo hivi, kwenye camera ni tie, hakuna mshindi.
Google Pixel ina new AI camera features ambazo kwenye Xiaomi hazipo ila Xiaomi naye ana new LEICA features ambazo kwenye Pixel hazipo, pia Pixel 7 Pro inarekodi 4K videos kwenye kamera ya mbele wakati Xiaomi 13 Pro anaishia 1080p kwenye selfie camera.
Lakini sasa, Xiaomi 13 Pro inatoa video za high quality kwenye kamera ya nyuma kuliko hiyo Google Pixel 7 Pro kwa sababu inarekodi 8K videos na Google Pixel wameishia 4KView attachment 2471464
Simu kubwa duniani ni 3 tu.Kumbe list yenyewe inaangalia user's review ambazo mtu anacomment anavyojisikia[emoji38][emoji38]. Sasa mbona ulikuwa unatuambia hiyo ni list ya simu bora duniani
Mimi nataka comparison ya Xiaomi 13 Pro Vs Google Pixel 7 Pro, na sio vilist vya ajabuajabu ulivyoviokota mitandaoni
View attachment 2471458
Mkuu hiyo ni Xiaomi 13 Pro, sio iPhone 13 Pro. Nadhani niliwachanganya nilivyoicrop hiyo screenshot. Angalia tena hapaNadhani tulikuwa tunaongelea Xiaomi vs google pixels.
Na hakuna aliekataa iphone anarecord video bora.
Still maelezo hayana mantiki kama hakuna significant comparison kwenye real world test.
Nimekwambia huyo mkbhd amefanya blind camera smartphone test na pixels zimeshinda by miles.
Iweje uniletee screenshots zisizo na kichwa wala miguu. Numbers don't matter if they are not showing real world results.
Na camera zote za simu za kisasa zina image processing softwares. Tena ni advanced by miles.
Pixel 7 camera ndo talk of the town hii ni based on the reviewers mitandaoni. Hata Iphone anasubiri hapo.
Nasubiri Samsung atakuja na nini mwezi huu, ila as of now huyo Xiaomi ni takataka kulinganisha na Pixels. Hata ulete screenshots 1000.
Maelezo yangu yamebase kwenye pixel vs xiaomi. Sio pixel vs iphone.
Xiaomi haziongelewi sana kwa sababu kampuni haijabase kwenye marketing, wao wanauza simu zao wenyewe na hawana store kwenye nchi nyingi sana, Hata U.S.A Xiaomi zipo chache sana, yeye amebase China na India ndio maana mimi siongelei umaarufu, nataka real comparison ya simu zenyewe Xiaomi 13 Pro vs Google Pixel 7 proSimu kubwa duniani ni 3 tu.
1. Iphone
2. Pixel
3. Samsung
Ukiona simu ikitoka hata watu hawaiwazi wala kuhangaika nayo ujue bado sana. Hata ijazwe flagship features gani.
Bora kaka maana nimechoka kutypeSimu kubwa duniani ni 3 tu.
1. Iphone
2. Pixel
3. Samsung
Ukiona simu ikitoka hata watu hawaiwazi wala kuhangaika nayo ujue bado sana. Hata ijazwe flagship features gani.
Kwa picha Pixel anatisha, sikatai. Vipi kuhusu video qualityHiyo xiaomi 13 pro linatumika china tu. (Chinese version) hutalinganishaje na simu za dunia. Ukitaka ujue pixel wakali kwenye camera software piga picha kwa kutumia hiyo simu yako ya xiaomi 13 pro harafu post kwenye mtandao wowote km facebook na wa pixel naye apost. Utakuja kujua google pixel inatisha.
Xiaomi na tecno latest na kaka na mdogoHiyo xiaomi 13 pro linatumika china tu. (Chinese version) hutalinganishaje na simu za dunia. Ukitaka ujue pixel wakali kwenye camera software piga picha kwa kutumia hiyo simu yako ya xiaomi 13 pro harafu post kwenye mtandao wowote km facebook na wa pixel naye apost. Utakuja kujua google pixel inatisha.
Tatizo mnaongea ushabiki tu huku facts mnazikataa, kwa nini mnaogopa sana kuzilinganisha hizo simu mbili kwa facts[emoji23][emoji23].. Mnaujua moto wa Xiaomi eehBora kaka maana nimechoka kutype
Naona mnavyohangaika kutafuta support, inaonesha kabisa dawa imewaingia kunako[emoji38][emoji38]Xiaomi na tecno latest na kaka na mdogo
Users ni marketing tosha huna haja ya kuwa na stores over the world to have the best camea or user interface.Xiaomi haziongelewi sana kwa sababu kampuni haijabase kwenye marketing, wao wanauza simu zao wenyewe na hawana store kwenye nchi nyingi sana, Hata U.S.A Xiaomi zipo chache sana, yeye amebase China na India ndio maana mimi siongelei umaarufu, nataka real comparison ya simu zenyewe Xiaomi 13 Pro vs Google Pixel pro
Safari hii kuwa makini, usije ukachanganya Xiaomi 13 pro na iPhone 13 Pro kama ulivyofanya hapo juu