project planner
JF-Expert Member
- Jul 8, 2019
- 1,170
- 1,562
Pixel 5A ni midrange huwezi ifananisha na Highend kama Iphone ama Samsung S series etc.Sababu kuu ya huu uzi kufikisha post zaidi ya 250+ ni kukosekana kwa wataalam wa hizi mambo. Hii tabia ya kusifiasifikia kitu kwa kuwa tu umenunua bila kunua ubora ni mbaya sana.
Ndugu zangu Chief-Mkwawa na reyzzap kuna watu wanatamba hapa jukwaani na mnawaacha wanalisha watu matango pori, eti wanafananisha iphone na smartphone za kawaida.
My friend google made Android, and now they make pixel what do you expect next?Ninyi City Rider na Therealmike25 huu uzi kwangu ni useless labda waje mabingwa wa gadget kuelezea ukweli.
Tuacheni tuendelee na brand zinazojulikana.
Kumbe huwa unanunua brand zinazo julikana na haujui unahitaji nini kwenye simuNinyi City Rider na Therealmike25 huu uzi kwangu ni useless labda waje mabingwa wa gadget kuelezea ukweli.
Tuacheni tuendelee na brand zinazojulikana.
Samsung kashindwa kumdrop iphone kwenye soko Sasa tungoje miaka 3,5 mbele kitakachotokea sijui!My friend google made Android, and now they make pixel what do you expect next?
kwa takwimu za leo Huawei Mate50 pro ndio anaongoza ya pili pixel 7proyes inaipita iphone ila simu ya kwanza ni s22 samsung camera yake ni nomaaaa
nataka mpya nazipatajekkoo zipo nenda china plaza kama unapenda used
Achana na hii kitu, kama una bajeti ya kununua iphone 11 au 12 please pita kwanza uchukue pixel halafu ukirudi tena kwenye iphone niite mbwa nimekaa paleee
View attachment 2380916View attachment 2380917
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Kwenye kila uzi hawakosagi watu kama hao.[emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] jf ina watu jaman, nimecheka sana daah...
Risit kwa risit [emoji2][emoji119]
Kuna jamaa nimempigia China plaza pixel 7 anazo mpya 1.8m...ila pixel 6 ni usednataka mpya nazipataje
Mnajitahidi tahidi vijana hii hapa chini ni pixel 4 xlAifoni xr
View attachment 2403708
Bado umekariri mkuuBado hakuna simu ya kuilaza brand ya iPhone , mi mwenyewe sio mtumiaji wa iPhone , Ila mpak sasa iPhone ndo simu , labda mwaka kesho ndo itaanguka
Hata iphone nae anapandisha hizo RAM, Camera na Storage.Hizo simu naziuza boss, primary situmii cause kila nayoshika naipiga bei, brand zingine ni kujaza megapixel kwenye Camera na Ram nyingi, Ila efficiency still ni changamoto, iPhone simu zao ni quality Sana, mnyonge mnyongeni Ila haki yake mpeni.