M nimewaambia pixel waipe 3yrs itashika no.3 saivPixel zisemwe za nyuma Ila kuanzia 6 na kuendelea ile ni pure samsung flagship yenye software inayoendana na hardware
Kwa lugha rahsi tunaweza ziita samsung galaxy note line kutoka google
Tusichanganye videography na photography upande wa picha pixel wanaupiga mwing ase
Ukwel useme 14 pro kwa 7pro hatoboi
Pia kuna xiaomi 12s ultra (ina picha zake wa iphone mtazipiga 2024)
Mbona wanishawishi kuipga chini Samsung maana nmefunga nao mkataba ebu nipe reason za kuipiga Samsung Galaxy note 10 plus Gb 256Google pixel 3A xl during night hio ni portrait sijatumia flash hapo njoo na iphone Yako.View attachment 2398226
Tuliza kipele mkuu simu nzuri sana hiyo uliyo nayoMbona wanishawishi kuipga chini Samsung maana nmefunga nao mkataba ebu nipe reason za kuipiga Samsung Galaxy note 10 plus Gb 256
Sifa wana walizoimwagia Google pixel nkajua n zaidi ya hii mkuu[emoji2][emoji2]Tuliza kipele mkuu simu nzuri sana hiyo uliyo nayo
Kipi ambacho iyo Samsung inaizidi google pixel tuweke hivi pixel 5pro tu na iyo note 10 yake kama atachomokaTuliza kipele mkuu simu nzuri sana hiyo uliyo nayo
Sababu ni hizi hapa tiririka na hiz picha utapata sababu ya kwanini unahitaji pixel note 10 vs pixel 5a comparisonMbona wanishawishi kuipga chini Samsung maana nmefunga nao mkataba ebu nipe reason za kuipiga Samsung Galaxy note 10 plus Gb 256
Hivi huvuti bangi kweli ni kipi hapo kilicho mzidi note 10 plus sana sana naona note 10 plus ndio iko juu kwa kila kitu hapoSababu ni hizi hapa tiririka na hiz picha utapata sababu ya kwanini unahitaji pixel note 10 vs pixel 5a comparison View attachment 2399858View attachment 2399861View attachment 2399859View attachment 2399860View attachment 2399862View attachment 2399863
Kusoma pia unashindwa mkuu? Labda wewe kwenye kuangalia ubora wa simu hua unaangalia vitu gani yani.Hivi huvuti bangi kweli ni kipi hapo kilicho mzidi note 10 plus sana sana naona note 10 plus ndio iko juu kwa kila kitu hapo
Rudi shule mkuu Yani mpaka hapo huoni Samsung kazidiwa wapi au unaongea kishabiki maandaziHivi huvuti bangi kweli ni kipi hapo kilicho mzidi note 10 plus sana sana naona note 10 plus ndio iko juu kwa kila kitu hapo
Jamaa arudi shule Samsung kapigwa seem nyingi tu iyo note 10plus za Dubai sijui china chakwanza zinaishia android 12 labda sijui original version yake ya Korea itakuwa labda inaenda Hadi 13 ila pixel 4xl kupanda juu inakubali android 13Kusoma pia unashindwa mkuu? Labda wewe kwenye kuangalia ubora wa simu hua unaangalia vitu gani yani.
Jamaa arudi shule Samsung kapigwa seem nyingi tu iyo note 10plus za Dubai sijui china chakwanza zinaishia android 12 labda sijui original version yake ya Korea itakuwa labda inaenda Hadi 13 ila pixel 4xl kupanda juu inakubali android 13
zipo japo kwa maduka machache maana price yake ni kubwa kushinda hata iphone na wengi hawazijui hvyo wanakimbilia iphone na samsung
Kumbe unapima ubora wa simu kwa kuangalia android version basi tuseme na tecno camon 19 yenye android 13 ni bora kuliko Note 10 plus inayo ishia android 12Jamaa arudi shule Samsung kapigwa seem nyingi tu iyo note 10plus za Dubai sijui china chakwanza zinaishia android 12 labda sijui original version yake ya Korea itakuwa labda inaenda Hadi 13 ila pixel 4xl kupanda juu inakubali android 13
Cheki ulivyo mpuuzi.Elimu ya nani inatatizo yangu au yako? You can tell quality ya picha kwa tazama Resolution, Sharpness, contrast, na clarity haijalishi umepiga na simu gani au subject gani kilaza wewe
Huna unalojuaCheki ulivyo mpuuzi.
Unadhani hayo unayoyasema yapo kwenye hizo picha hapo juu?
Au vile unamiliki Pixel unadhani kila picha ni nzuri?
UMezingua nikikuletea picha zangu za pixel 3a utaondoka humu na AibuKinachowezekana leo kisingoje? Kesho wahenga wanamaana sana View attachment 2394533
View attachment 2394534
Wapi nimesema napima ubora wa simu kupitia version??? Nimekwambia angalia mwenyewe Samsung alichozidiwa hapo kwanza ubora wa Samsung una consist na software kiujumla sa utakuwahe na latest features kama simu Yako hata 13 droid haifikiKumbe unapima ubora wa simu kwa kuangalia android version basi tuseme na tecno camon 19 yenye android 13 ni bora kuliko Note 10 plus inayo ishia android 12
Mkuu umewahi miliki samsung gani ?Wapi nimesema napima ubora wa simu kupitia version??? Nimekwambia angalia mwenyewe Samsung alichozidiwa hapo kwanza ubora wa Samsung una consist na software kiujumla sa utakuwahe na latest features kama simu Yako hata 13 droid haifiki
Labda nipige chini hii Note 10 plus nipande juu yake iwe samsung lakin sio kumiliki Google pixelMkuu umewahi miliki samsung gani ?
Yaani niache hii Samsung note 10 plus nikimbilie Google pixel [emoji1787][emoji1787] utani wa ngumi mwisho wa siku utanambia ninunue infinix
Mimi kwangu simu n
1. IPhone
2. SAMSUNG
3. NOKIA
Mimi sio mpenzi wa IPhone but siwez toka hapo juu niende kwingine aisee