Google pixel 5a 5g

Tupigie hiyo kali ya iphone na sisi tutakupigia ya pixel ubishi utakuwa umeisha

Ivi samahani lakini kwakuuliza uliekewa nilivyokwambia tafuta google pixel 6 pro na huawei p40 pro mkononi mwako ndoutajua ubora wa telephoto kwenye kila simu nilikuwa namaana huwezi kushindanisha ubora wa picha simu kwakupitia subject ambazo hazilingani shekhe hapa hatubishani tunaelekezana tu ila kama unataka ubishi mimi siwezi
 
wewe
 
Hizo picture za mchongo iPhone mwenyewe anajua kabisa pixel ni Moto kwenye photographic sema ndo vile anaongoza soko
 
iPhone ni simu nzuri mno Kwa muundo wake hardware mpaka software lakini pixel ni mwisho WA matatizo

Ukihitaji picture Google pixel is here [emoji91][emoji991]

Ni kweli google is camera ila iphone is brand
 
Shekhe narudia tena tafuta simu mkononi kwako alafu uzifanyie review achana nahao
Mwisho wa siku wee tumia hizo mi ntatumia pixel nishatumia iphone 11 nimeshika na 21 ultra kidogo lakini kwangu bado pixel ni simu nzuri, naitumia vilivyo kutangaza product zangu kwa picha kali, superb video making and editing (kama movie), Battery life makes my life easier, refresh rate, storage etc in short nahisi naitumia sana pixel kuliko iphone, so this makes pixel perfect to me
 
Kumbe na wewe umeona mzee zina ukungu hizo picha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…