ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 25,048
- 61,369
Aseee wabongo noma Sana man
kweli kabisa alafu watu wanafanyia mzaha jambo la seriousYaani familia yake ikiona huu upuuzi inaumia sana.
kweli kabisa alafu watu wanafanyia mzaha jambo la serious
HahahaaUkiona mtu anadiriki kuweka mtandaoni kitu kama hiki ujue kabisa utimamu wake ni wa kutilia mashaka sana.
Ni pale unapo log in na bangi imetawala akili yako haya ndio atakayofuata.kweli kabisa alafu watu wanafanyia mzaha jambo la serious
Utafikiri yeye yupo salama, na yakimkuta hataacha kulalamikakweli kabisa alafu watu wanafanyia mzaha jambo la serious
what makes u so 100% confident.I am 100% confident by now the International Community have already taken the initiative of finding out the whereabout of MO Dewji without the consent of the Tanzania government!! They have the technology to do that and because they have found out that his life is not in danger they are not asking the government to account!!!
what makes u so 100% confident.
Wana Lumumba sijajua kwanini hili jambo limekuwa sherehe kwao. Let them celebrate, their turn is around the cornerYaani familia yake ikiona huu upuuzi inaumia sana.
Wana Lumumba sijajua kwanini hili jambo limekuwa sherehe kwao. Let them celebrate, their turn is around the corner