Google map - nani anaratibu

Google map - nani anaratibu

KASRI

Member
Joined
May 2, 2009
Posts
93
Reaction score
22
Salaam,
Napenda kufahamu kuhusu Google Maps.
1. Nani anamiliki/simamia/ratibu Google maps?
2. Huwa inaboreshwa?
3. Kama jibu ni ndio; Maboresho yanafanyika kila baada ya muda gani?

Huwa napenda sana kuitumia katika kufahamu maeneo tofautitofauti ila ninakuwa najiuliza lini nitaona maboresho yanayofanyika ardhini (majengo mapya, nk) katika hii ramani?

Nawasilisha
 
mkuu google map ni ya google na wao ndo wanaratibu. Ila tatizo la google map wao wanataka sisi user ndo tusubmit maeneo kwao japo na wao wanakuja kufata, na hapo ndo unakuta wanashindwa na navteq
 
Salaam,
Napenda kufahamu kuhusu Google Maps.
1. Nani anamiliki/simamia/ratibu Google maps?
2. Huwa inaboreshwa?
3. Kama jibu ni ndio; Maboresho yanafanyika kila baada ya muda gani?

Huwa napenda sana kuitumia katika kufahamu maeneo tofautitofauti ila ninakuwa najiuliza lini nitaona maboresho yanayofanyika ardhini (majengo mapya, nk) katika hii ramani?

Nawasilisha

nenda google then type google maps wikipedia for more details.nimeshndwa weka link...
 
Back
Top Bottom