Google inachanganyikiwa sasa

Google inachanganyikiwa sasa

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,454
Reaction score
872,085
1397426546697.jpg
 
ukiona hivyo ujue na yenyewe imenyweshwa viroba, inasearch kilevi levi.
 
Google asanteni kwa maana sis ndo chanzo cha kuweka miundo mbinu mibovu na viongozi wetu
 
Mbona lipo miaka yote, sema tu ndiyo linakaribia kutoweka.
 
Hivi wanaoweka majina ya mahali kwenye ramani ya google ni wahusika wa mahali husika?mfano google inajuaje majina ya maeneo kama dar haya majina yanaingiaje kwenye searching za google?
 
Hilo ziwa lipo sana tu.
Na inasemekana ndio asili ya jina "Mwananyamala" kizaramo yaani mtoto nyamaza kulia.
Inadaiwa miaka hiyo ilikuwa ikisikika sauti ya mtoto ikilia kutoka humo ziwani. Ndio wenyeji wakasema "Mwananyamala".

Wakati mwingine muwe mnauliza badala ya kuponda.
 
mkuu, unajua ziwa kweli na sifa zake hadi liwe ziwa? Kama lilikuwepo, basi alokuhadithia lazma atakwambia maeneo lililopo hilo ziwa. Haya tujuze hilo ziwa lilikuwa pande zipi?
 
Back
Top Bottom