Google hapa kweli hawajakosea?

Google hapa kweli hawajakosea?

Tony Yeyo

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2014
Posts
733
Reaction score
570
ImageUploadedByJamiiForums1441660367.235768.jpg
 
Ndio yanavyoitwa
Hawajakosea....hata Supermarket ndio yanavyoitwa ukienda kuulizia.
 
hawajakosea mkuu, kwani matembele hayaweki viazi vitamu? ila sio kila kitu cha kugoogle
 
Zamani matembele yalikua ni yale ya viazi vitamu. ambayo sasa watu hawali.
 
Back
Top Bottom