Ndiyo mkuu ina functionalities kama za excel. Sijaona jambo lolote ambalo unaweza shindwa fanya kwenye google docs/excelHiyo Google Doc/Sheet ipo kama Excell..katika functionalities yake.?
Pia kuna future zote zifananazo na full package ya MS...?
Mimi natumia laptop, ila nimeipenda. Kwanza inawapa uwezo watu wawili kufanyia kazi hata zaidi kamamnaeditdocument kufanya kazi kwa wakati mmoja hata mkiwa nchi tofauti na matokeo kila mmoja anyaona instantly yakifanyika.Google docs nakumbuka nilikua naitumiaga kwenye OCR, ila hata mimi naona kwa mtumiaji wa desktop akitumia docs kazi zake ni salama sana endapo umeme ukikatika
Hiyo si mpaka wote mtumie email moja lakini?Mimi natumia laptop, ila nimeipenda. Kwanza inawapa uwezo watu wawili kufanyia kazi hata zaidi kamamnaeditdocument kufanya kazi kwa wakati mmoja hata mkiwa nchi tofauti na matokeo kila mmoja anyaona instantly yakifanyika.
hii pia ipo kwenye officeMimi natumia laptop, ila nimeipenda. Kwanza inawapa uwezo watu wawili kufanyia kazi hata zaidi kamamnaeditdocument kufanya kazi kwa wakati mmoja hata mkiwa nchi tofauti na matokeo kila mmoja anyaona instantly yakifanyika.
Kwa uelewa wangu hakuna Office 2015, huwa zinatoka kila miaka 3 2007, 2010, 2013, 2016, 2019 etc.office 2015
Ni 2016Kwa uelewa wangu hakuna Office 2015, huwa zinatoka kila miaka 3 2007, 2010, 2013, 2016, 2019 etc.
Office za miaka ya karibuni zote iki crash, umeme ukikatika ama kukitokea tatizo, ukija kufungua inaanza pale pale
Pia zipo office ya cloud, inaitwa Office 365 ambayo ni more advanced zaidi.
Ni 2016
Nenda file kisha info kisha manage version halafu recover unsaved file.Ni 2016