Google Chrome inakula RAM kuliko maelezo

Google Chrome inakula RAM kuliko maelezo

Ohoo. Thou sio poa sana but kama windows 8 inarun na una enjoy hata windows 10 can.

Inabidi ujiandae na Bundle kama GB 5 kisha ntakuelekeza namba ya kupata hiyo updetor

Zala Na Nga
Hivyo nikishaunga bundle nikuchek?
kuna Apps natafuta za Photoshop naambiwa zipo compatible na windows 10!
 
Haujasema kama ni kwenye simu au desktop, Chrome ni nzuri sana na naitumia katika kila kitu ikiwemo development.
Kwa siku nafungua tabs kama 30 hivi ninazozitumia.
Huwa natumia tab suspender ili nikizifungua nyingi nachagua zipi ziwe suspended ili zisitumie memory nyingi.
 
Amesema pc
 
Mimi nina pc ina ram 4gb na processor yake weak sana ni N3700 na 1.6ghz, lakini ninatumia chrome na naweza fungua hata tab kumi na sijawahi kukumbana na tatizo kama hilo
Kwangu ina stuck nikifungua na programs nyingine nzito.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi naitumia sana hasa nikitaka kuchukua picha ya kitu flani.
Opera mini naitumia kupakua audio za mziki tu.
Tapatalk nayo inakula sana MBs pamoja na power.
IMG_20200409_200359.jpg
 
Tumia Avast Secure browser ina features nyingi na nzuri pia Yandex ya warusi ipo vizuri. Zote ni chromium browsers.
 
Binafsi sipendi operamini na chrome kwenye Simu, napenda kutumia Opera Browser,ipo vizuri kuliko operamini
Aise kumbe kuna tofauti kati ya operamini na opera browser??

Wanangu wa A town inakuaje??
 
Back
Top Bottom