Google Camera: Camera bora zaidi kwenye simu yako

kcamp

kcamp

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2014
Messages
4,365
Points
2,000
kcamp

kcamp

JF-Expert Member
Joined Aug 31, 2014
4,365 2,000
Wakuu bila kupoteza muda,,Nimeshangaa kuona jukwaa la tech hadi leo hii hakuna uzi special wa GCam au Google camera.

Haina ubishi,hii ndio app bora ya Camera kuwahi kutokea,ambayo imetengenezwa na google wenyewe

Utakubaliana na Mimi kama tu umeshawahi tumia simu zao za pixel,zile simu zinapiga picha hatari,Hii yote imetokana na App bora ya camera waliyo nayo,ukiachilia camera specs.

FEATURES

Hii app ina features nyingi tu ila kubwa ninazoona ni 3 tu

1.GCAM POTRAIT MODE
Hii inajulikana kama bookeh effect au potrait mode kama nilivyo itaja,Hii ni ile feature ambayo camera inakua ina focus kwenye subject tu na kupotezea background huko nyuma,Nadhani ushaijua,Sasa potrait ya Gcam ni balaa maana inapiga mbele na nyuma,kwa maana hadi selfie camera ina potrait mode

hivyo kama utafanikiwa kuinstall basi utaenjoy hiyo feature na kuwashangaza marafiki zako as if unatumia Canon

2.HDR PLUS
Gcam inakuja na feature ya hdr+ ambapo picha zako zitaku very rich na hdr effect na kuzifanya kua bora zaidi ya stock camera.

3.Optimized Night mode
Kwa wale wazee wapenda picha za usiku basi Gcam ndio kiboko yake,hapa utapata great night shots kuliko stock camera ya simu yako.

DOWNLOADS

Sasa kwakua App hii ni special kwa sim za google na other android one devices basi ndio hapo kuna developers tofaut wakaweza ku port hii app kwa device zingine ili na sisi tuenjoy.

Hapa chini ninaweka link ya Gcam Hub ambapo ni kama center ya hizi app kwa simu zetu.,,hivyo utaingia na kusaka port sahihi ya simu yakoau pia unaweza nenda google Gcam for your device na ukapata link nzur zaidi.

make sure unafata maelekezo kama yatakuepo katika process ya kuintall


##Kabla ya kutaka kuweka Gcam hatua ya kwanza kabisa unatakiwa kucheki kama simu yako itasuport Gcam kwa njia rahisi tu..yani kujua kama inaruhusu modification za camera...


tumia hiyo app kisha start and then weka result hapa

CHANGAMOTO

challenge kubwa ni ku crash kwa app kwa baadh ya simu hii ni kutokana na app hii kua ported na developers tofauti,hivyo usichoke kuchange port ya developer mwingine kama uliyo nayo inasumbua.

Wazee wa MTK devices hii kitu msahau tu,hakuna port ya mtk hadi sasa,,yani wakina Tecno na ndugu zake wote.

Baadh ya pics za Gcam naweka hapa chini,ila tu siwezi post sura yangu kwa privacy,nitaweka za wenzetu kutoka grup yaGcam huko facebook na baadh nilizopiga kwa sim yangu.fb_img_1557648509862-jpeg.1094995
fb_img_1557648519384-jpeg.1094996
fb_img_1557648559504-jpeg.1094997
fb_img_1557648536052-jpeg.1094998
fb_img_1557648620997-jpeg.1094999
fb_img_1557648690265-jpeg.1095000
20190204_162124-jpeg.1095005
20190211_131652-jpeg.1095006
 
Honestty

Honestty

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2018
Messages
3,298
Points
2,000
Honestty

Honestty

JF-Expert Member
Joined Sep 24, 2018
3,298 2,000
ila kwenye picha za mchana bado pixel anakalishwa na simu nyingi tu.
Kuacha hii p30 pro.. basi Redmi note 7 pro au mi 9 si ndy tuseme hivyo! Haha!
Google pixel is king.
 
KweliKwanza

KweliKwanza

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2016
Messages
3,162
Points
2,000
KweliKwanza

KweliKwanza

JF-Expert Member
Joined Aug 20, 2016
3,162 2,000
Ukweli kabisa ukifatilia vizuri Kuna source niliipata gsm arena inaonesha simu zenye kamera Bora, simu za Google pixel hata kumi bora hazimo, Huawei P 30 Pro aliongoza, halafu Samsung Galaxy S10 5G akafuata Oneplus 7 Pro, Honor 20 Pro, Mate 20 Pro, P 20 Pro, ........
Simu zinazoongoza kwenye camera ni pixel
Hamna sim inayoifikia
Na kama apo hawakuiweka walikosea na hao si wa kuaminika, au myb waliweka camera features na sio quality
 
KweliKwanza

KweliKwanza

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2016
Messages
3,162
Points
2,000
KweliKwanza

KweliKwanza

JF-Expert Member
Joined Aug 20, 2016
3,162 2,000
Gcam huwez kutumia ilimradi una cm
Atakama ni nzuri ila kwenye simu nyingi inaweza kutoa picha mbaya ukilinganisha na stock aplication
 
kcamp

kcamp

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2014
Messages
4,365
Points
2,000
kcamp

kcamp

JF-Expert Member
Joined Aug 31, 2014
4,365 2,000
Gcam huwez kutumia ilimradi una cm
Atakama ni nzuri ila kwenye simu nyingi inaweza kutoa picha mbaya ukilinganisha na stock aplication
Ungetaja na simu ambazo gcam hutoa picha mbaya kwa manufaa ya uzi
 
kimsboy

kimsboy

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2016
Messages
4,650
Points
2,000
kimsboy

kimsboy

JF-Expert Member
Joined Oct 17, 2016
4,650 2,000
Vipi kwa mwenye simu ya samsung galaxy s8+???Naidownload vipi?
 
Honestty

Honestty

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2018
Messages
3,298
Points
2,000
Honestty

Honestty

JF-Expert Member
Joined Sep 24, 2018
3,298 2,000
Gcam huwez kutumia ilimradi una cm
Atakama ni nzuri ila kwenye simu nyingi inaweza kutoa picha mbaya ukilinganisha na stock aplication
Mfano simu gani inatoa picha mbaya hata kama gcam ipo
 
halloperidon

halloperidon

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2015
Messages
1,926
Points
2,000
halloperidon

halloperidon

JF-Expert Member
Joined Feb 16, 2015
1,926 2,000
to me pro stock camera is good hapo sijatumia potrait
img_20190809_115044-jpeg.1176502
img_20190809_115115-jpeg.1176503
 
K

korokwincho

Member
Joined
Aug 29, 2014
Messages
89
Points
125
K

korokwincho

Member
Joined Aug 29, 2014
89 125
Pixel noma mkuu...zile hazitak kelele..siku uwe nayo mkononi ndio utajua balaa lake...

Sisemi brand zingine hawana camera kali..ila pixel hawakosei camera

p30 pro nuksi
Vipi kuhusu NOKIA 9 PUREVIEW, maana naona wanasema ni only for professional photographer
 

Forum statistics

Threads 1,324,981
Members 508,911
Posts 32,179,402
Top