😂 😂 😂 😂yani wakina Tecno na ndugu zake wote
Mkuu kcamp nimepata ila kwenye potrait haifunguki nafanyajeDaah ngoja tuendelee kupambana mkuu ,pengne utapata ya kwako ufuarahi..leo nitajarbu kukusakia tena
Kuwepo ipo ila ukiswaip hap haikuwezeshi kupiga picha mkuuIla option ya potrait inaonekana?
Ngoja niingie niangalieUkiingia setting hakuna option imeandikwa BSG?
kcamp SijaonaUkiingia setting hakuna option imeandikwa BSG?
Nipo sahihi mpaka hapo kcamp ?Basi ingia hapo bsg kisha weka setting hizi
B-S-G Settings:Model: Pixel XLConfig Camera HDR+: Nexus 6 HDR+ AutoHDR+ Parameters: DefaultPortrait Mode on all models: ONDeveloper Settings:camera.faceboxes: ONcamera.af.debug/show: OFF
Hawa wachina sijui wanafeli wapi.Kwaiyo sisi tunaotumia Tecno tuachane nayo?
😂😂😂😂😂Hawa wachina sijui wanafeli wapi.
Nimejaribu kufuata kale kausemi "...., changanya na zako" nimepata majibu hayoView attachment 1105398
Mkuu naomba unisaidie link ya Samsung j7 tafadhali au na yenyewe ni kama wa kina tecno.Wakuu bila kupoteza muda,,Nimeshangaa kuona jukwaa la tech hadi leo hii hakuna uzi special wa GCam au Google camera.
Haina ubishi,hii ndio app bora ya Camera kuwahi kutokea,ambayo imetengenezwa na google wenyewe
Utakubaliana na Mimi kama tu umeshawahi tumia simu zao za pixel,zile simu zinapiga picha hatari,Hii yote imetokana na App bora ya camera waliyo nayo,ukiachilia camera specs.
FEATURES
Hii app ina features nyingi tu ila kubwa ninazoona ni 3 tu
1.GCAM POTRAIT MODE
Hii inajulikana kama bookeh effect au potrait mode kama nilivyo itaja,Hii ni ile feature ambayo camera inakua ina focus kwenye subject tu na kupotezea background huko nyuma,Nadhani ushaijua,Sasa potrait ya Gcam ni balaa maana inapiga mbele na nyuma,kwa maana hadi selfie camera ina potrait mode
hivyo kama utafanikiwa kuinstall basi utaenjoy hiyo feature na kuwashangaza marafiki zako as if unatumia Canon
2.HDR PLUS
Gcam inakuja na feature ya hdr+ ambapo picha zako zitaku very rich na hdr effect na kuzifanya kua bora zaidi ya stock camera.
3.Optimized Night mode
Kwa wale wazee wapenda picha za usiku basi Gcam ndio kiboko yake,hapa utapata great night shots kuliko stock camera ya simu yako.
DOWNLOADS
Sasa kwakua App hii ni special kwa sim za google na other android one devices basi ndio hapo kuna developers tofaut wakaweza ku port hii app kwa device zingine ili na sisi tuenjoy.
Hapa chini ninaweka link ya Gcam Hub ambapo ni kama center ya hizi app kwa simu zetu.,,hivyo utaingia na kusaka port sahihi ya simu yako
Google Camera Port Hub
This is a hub for all the various Google Camera ports for devices from Samsung, LG, HTC, Xiaomi, Motorola, and many more.www.xda-developers.com
Google Camera Ports Download
Modified Google Camera ports (Pixel Camera) by BSG, Arnova8G2, BigKaka, Shamim, and others. Download hub for GCam ports.www.celsoazevedo.com
au pia unaweza nenda google Gcam for your device na ukapata link nzur zaidi.
make sure unafata maelekezo kama yatakuepo katika process ya kuintall
##Kabla ya kutaka kuweka Gcam hatua ya kwanza kabisa unatakiwa kucheki kama simu yako itasuport Gcam kwa njia rahisi tu..yani kujua kama inaruhusu modification za camera...
Manual Camera Compatibility - Apps on Google Play
Easily check whether your device supports manual camera settings!play.google.com
tumia hiyo app kisha start and then weka result hapa
CHANGAMOTO
challenge kubwa ni ku crash kwa app kwa baadh ya simu hii ni kutokana na app hii kua ported na developers tofauti,hivyo usichoke kuchange port ya developer mwingine kama uliyo nayo inasumbua.
Wazee wa MTK devices hii kitu msahau tu,hakuna port ya mtk hadi sasa,,yani wakina Tecno na ndugu zake wote.
Baadh ya pics za Gcam naweka hapa chini,ila tu siwezi post sura yangu kwa privacy,nitaweka za wenzetu kutoka grup yaGcam huko facebook na baadh nilizopiga kwa sim yangu.
View attachment 1094995View attachment 1094996View attachment 1094997View attachment 1094998View attachment 1094999View attachment 1095000View attachment 1095005View attachment 1095006
Sema siyo yangu mie niko na oppoYaa humo mkuu inatulia bila kelele,Xiaomi nyingi inakubali vizur sana..
Sasa hapo boss ni mwendo wa potrait tu