Poa asanteHizo simu ndogo mkuu..haiwezi kubali
Hizo simu ndogo mkuu..haiwezi kubali

sasa mkuu kama ni hivyo basi zimetolewa kwa matoleo machache hivyo developers wajitaidi kuongeza ...Ndiyo mkuu ila natumia oppo a3s android 8.1 Processor:quallcom 450.Ndiomana mkuu kuna version nyingi za gcam..nilikwambia una kibarua cha kutest version moja moja kweny link nlikupa au sio ww mkuu?
Samsung A30 mkuu kcampSimu gani mkuu
Mkuu pita hapa https://www.celsoazevedo.com/files/android/google-camera/dev-idan/kcamp Niaje mkuu, nimefuatilia uzi wako kutoka mwanzo nikajaribu apk nyingi kwenye simu yangu galaxy j6 2018 android 9 kila apk ninayojaribu inanigomea nimetest kwa ile app imenipigia tik kote, sasa mkuu unaweza jisaidia link ya galaxy j6 2018
Uninstall kisha install tena mkuu
Mkuu nimetembea nazo zote haijakubali hata moja mkuuMkuu pita hapa https://www.celsoazevedo.com/files/android/google-camera/dev-idan/
Sasa jaribu moja moja hapo kuanzia juu