GOOGLE au MICROSOFT kwa style hii....karibu zinawekeza.

agala

Member
Sep 13, 2011
57
12
Vijana creative na hard workers ndo kauli mbiu ya tanzania ya wana wa .com, jamii forums big up kwa creative yako

jigambe team big up,michuzi blog big up, zoom tanzania big up na wengine wengi na kuwaibia siri microsoft au google anataka akute

tayari vitu vimefanyika ndo awekeze kwa style hii lazima waje coz tayari watu wanafanya vitu msiofu wana online wenzangu tutafika tuu!!
 
Mh! Kusema kweli post zingine najitahd kuzisoma lakn sizielewi kabsaa; hasa za kwako mkuu!
 
Mhh hili sasa ni thread ya teknolojia au thread ya wawaaaaa kufagilia. Big up michuzi, Big up JIgambe Big up jamiiforums. Kweli Micrsoft na google hawana ujanja kama kuja afrika masharikilazima waanzie tanzania . Wawaaaaaaaaa


teh teh teh
 
Back
Top Bottom