Google Adsense

Guyz mimi sina uelewa sana na hizi mambo,naomba msaada...mimi ni mtangazaji nmeandaa show yangu naiweka facebuku unaweza search FACEBUKU TV so kwakua napata views wengi kunawatu wamenishauri nifungue YOUTUBE ACCOUNT alafu nitengenezee ADSENSE ...so nachotaka kujua hizi adsense ni kwaajiri ya blogs na website tu?na kama hadi youtube inatakiwa nifanye nini kwa mimi beginner naomba msaada hapo.
 
ni pm nina accounts za youtube adsense... hiyo adsense ya youtube ni matangazo yanayotokea kwenye videos zako pale unapo upload youtube
 
@divisiblebzero Vipi Kuhusu Picha, Adsense Hawazingui, Maana Hizo Picha Siyo Zako ?

Uwa na fanya reference kwa nilipoitoa ata mwenye nayo akiona ata mind coz nime acknowledge kwenye picha yake.
 
Kuchanganya Google Ads na Proppellerads inawezekana jamaani? Kwa anaefahamu
 
Kuchanganya Google Ads na Proppellerads inawezekana jamaani? Kwa anaefahamu
usichanganye,,, adsense ni very sensitive itapelekea kufungiwa.. adsense hawataki pop ads, au kama unaweka propelaller weka matangazo ya direct links tuu, pia ukichanganya adsense na pop ads ni vigumu kupata chochote kwenye adsense ..
****Fanya adsense katika clean environment**** dont mix***
Sisi tunakomaa na propeller na revenue hits tuu..
 

Direct links sijakusoma vzuri mtaalam
 

Naomba nipate kufahamu mtu anaweza jiunga Propeller adsense na na akawa pia yupo kwenye google adsense
 
HOSTED GOOGLE ADSENSE ACCOUNT-blogspot +youtube

INA DOLA 62+

PIN- VERIFIED

Ni-pm tuongee bei
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…