Google Adsense

Eti wataalam je nikinunua account ya adsence kwa mtu na nikawa nina blog ya kiswahili itakubali....
 
Trick not accepted unless otherwise unataka ufungiwe na mpunga usiupatate, mbaya zaidi uwa wana block bado kidogo upoke mpunga wako. so Play fair and get what you deserve.
MKUU wakiblock account inakuaje yani,maana nawasiwasi juu ya acount yangu
 
kwenye hiyo blog yako kuna post ngapi....??? mi naona kuna vi-post havizidi vitano...
Oooh kumbe shida ni post mkuuu ito web ni mpya so post naendelea kuweka taratibu kama ni ilo tu basi watanipa izo adsence soon.
 
Makala za kizunguuu mbn kk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…