Google adsense na propeller ads kipi bora?

Daah
 
Nampango wa kuwa na blog au website lakin natka nifaamu kwanza blog/site za aina au kuusu nini ndio zinakua na wasomaji wengi maana natka niwe naandika kwa lugha ngeni
 
Mi blog yangu inapata viewers 30000-280,000 kwa siku ambapo kwa AdSense napata mpaka 94 USD kwa siku.

Hivi propeller ni lazima uweke yale matangazo ya kufunika na kusumbua wasomaji au kuna option nyingine
Blog yako ni ya English ?
 
Google sasahivi wamekuwa marafiki sana baada ya kugundua kuna ushindani, sikuhizi wanatoa mpaka majibu ukiwauliza, Juzi niliwauliza kuhusiana na tetesi kuwa wanawafungia watu wenye traffic toka fb wakasema hawafungi isipokuwa ukiwashawishi viewers wako wabofye matangazo hapo watalamba account
 
Hapo sawa...maana sijaona condition inayozungumzia traffic kutoka fb
 
Mkuu weka blog yako hapa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…