Goodness of Fit: Love, Loyalty and Betrayal

Episode 4: Jamani Tom

Life langu ile wiki nliyokutana na Tom kwa mara ya kwanza ilikua la raha kinoma. Nikiwa kazini nlikua na furaha muda wote, pamoja na mambo mengine lakini kilicho nipa furaha muda mwingi ni pale nlipokumbuka kuwa nikirudi jioni ntamkuta Tom home, kwake of course, ila kama ambavyo imekua kawaida yangu now, nikifika ntaingia ndani kwangu, tena kwa kubamiza mlango ili ajue nimerudi. Nikishaoga na kujiweka sawa Tom atatafuta ka sababu tu ka either kuja kwangu au mimi niende kwake. Ilikua kama ka mchezo ka paka na panya vile. Hadi inafika ijumaa ya ile wiki ilikua ishakua wazi, namtaka na yeye ananitaka.

The attraction was so obvious kiasi kuwa kabla hata hajanitongoza nishaanza kumshika mkono tukitembea njiani, mimi bhana… ijumaa hiyo nikajitahidi kufanya shughuri zangu fasta, nikijua kabisa my Tom will be waiting for me. Nikakumbuka jana yake, namna tulivyokaa close ile close hasa, eti tunacheki movie hahaha, miguu nimeikunja na kuipandisha sofani, yeye yake kainyoosha kakanyaga meza, akiwa amepiga pensi yake kama alikiba, kichwa changu kikawa kimemuegemea begani, kimsingi kila kitu kilikua kinamsubiri yeye tu alianzishe. Cha maana alichofanya ni kuzungusha mkono wake mabegani kwangu, akawa kanikumbatia kama dada yake, hadi nikasinzia mikononi mwake. Tom bana, sjui alikua anawaza nini hata, hakua na tabia za kibaharia kabisa, maana kikawaida alitakiwa ashanitembezea dudu tangu siku ya pili tu tulipoonana.

So mzuka wa jana yake ukawa unaboost mzuka wa leo. Sio kuwa nlikua that desperate na dudu, ila basi tu, nahisi nlishaanza kumpenda kaka wa watu. Kawaida job muda wa kutoka hua ni saa kumi kamili jioni, ila mimi huwa natoka kwenye saa kumi na moja au 12 maranyingi, bt sio ile ijumaa. Yaani sikua na mpango wa kupitisha hata sekunde dadeki, saa kumi kamili juu ya alama nikanyanyua mguu wangu, chukua pochi yangu, tupia kikoti changu huyooo. Ile nafungua mlango wa jingo la ofisi kutoka nje, bana weee, kidogo nianguke kwa furaha.

Tom was there, kasimama pembeni ya gari yake, full tabasam komando kipensi wangu, yani nlijawa na furaha moja sijawahi experience ndugu wasomaji, nlijikuta namkimbilia bila hata kujua nnachofanya, utafikiri nimeona almasi sjui daah nyie acheni tu, haya mambo haya, ndo maana watu wanafilisiwaga. Nilipomfikia nikamkumbatia, yani hamuwezi amini ila chozi la furaha lilinidondoka, asivyo mchoyo alinihug pia ile ya kunikandamizia mwilini mwake, nikasahau kabisa kuwa nipo town, barabarani, mbele ya ofisi yangu. “nimekuja kukuchukua tukale dinner out leo, ungependa kula nini?” aliniuliza huku akiwa amenibandua mwilini mwake, mi nikawa naangalia chini nikijipangusa vimachozi machoni, “popote Tom, popote”, basi akanifungulia mlango wa gari pale, nikachoma ndani.

Cha ajabu ule uchangamfu ukawa umenitoka, nikawa hadi najishangaa, nlitamani kumwambia a lot of things, namna siku yangu ilivyokua, nlitamani pia aniambie how was his, bt nliishia kukumbatia pochi yangu na mara nyingi nikiangalia tu nje. “By the way, you look good….”, my God. Sentesi hii ilifanya nione bonge moja la aibu, sijui kwanini, nikafunika uso kwa viganja vyangu kwa muda, “its true…”, akakazia zaidi, “thanks…” ilibidi nijibu huku nimeangalia nje. Yaani ghafla tu, nikaanza hisi hadi sketi nliyovaa kuwa ni fupi sana, nikatamani niivute ifunike magoti. Hadi leo nashindwa elewa hii hali kwa nini ilinipata. I was so happy kumuona, so happy kwa surprise aliyonifanyia, so happy kuwa nae wakati huu, ila at the same time I was so shy mbele yake, tena ghafla tu, bila sababu za msingi.

Tumerudi home kwenye saa nne na nusu, hii ni baada ya kupata pizza mahala, then tukaenda café flani kupata vinywaji laini. Mida ya saa moja akaniomba nimsindikize kuna mechi ya mpira inachezwa usiku ule, so tukaenda hadi club D, yeye anaangalia mpira, mimi namuangalia yeye anavofurahia, mawazo yakawa yanakuja kuwa jamaa akimaliza kuinjoi football anaenda home kuinjoi tunda la Neema, hahahah, and I was so okay with it. Na huenda ile aibu nliyonayo ghafla ni kwa sababu akili yangu ishagundua leo naliwa. Mpira wenyewe hata hakuumaliza, alihisi ninasikia baridi, so hata hakuniuliza, alinambia tu twen’zetu. Sikubisha hata, moyo tu ukawa unaanza kwenda fasta.

Tumefika home, akapaki fresh akazima gari. Siku zote akishapaki tu mi huwa nashuka, bt leo sijui akili yangu ilikua slow, nikawa nimetulia tu. Tom akashuka akaja upande wangu akanifungulia mlango. Nliposhuka hata sikujisogeza, akafunga mlango wa gari yake akanitazama, nadhani hata yeye alikua ananishangaa huyu manzi vipi leo hahahaha. Bt hakuonesha kushtuka waziwazi, “you are very beautiful Neema”, yani ile sentensi ukiichanganya na sauti yake nzito ilinisisimua mwili mzima ndugu wasomaji. Nikawa nimemkodolea macho, sijui nijibu nini hata, macho yenyewe nikawa nahisi kama yamekauka maji vile. Uzuri ni kuwa hatimaye alielewa my body language.

Alisogea nilipo, akanyanyua mkono wake hadi usoni kwangu, kidole gumba chake kikatambaa na nyusi zangu, as if anazilaza zikae sawa, mkono wake mwingine akauzungusha kiunoni, tukiwa tunaangaliana machoni, nikatamani nimwambie namna anavyofanya nifeel huku moyoni, bt sauti hata haikutoka, ila najua alijua nlichofeel kwake. Akashika kidevu changu, akakivuta taratibu usoni kwake, then my eyes closed as our lips met. Tulikua nje bado ndugu zangu, lakini wala sikukumbuka, taa zikiwa zinatumulika lakini wala sikugundua. Tom alikua ashanipandisha sketi, anaminya tu nyama za tako zangu zilizolaini. Akaunyanyua mguu wangu mmoja, kisha kaniegemeza mgongo wangu kwenye gari yake, si akaanza kupiga kinanda huko chini, nlisahau hata kumkiss, maana kidole kimoja kishazama robo, kingine kimeshikilia pichu isirudi mahala pake.

Nadhani aligundua tuko sehem isiyo salama kwa kinachoenda kutokea. Akanibeba pale kama kabeba mtoto, miguu nimeizungusha nyuma yakiuno chake, uso wangu nimeuficha shingoni kwake. Jamaa anastamina ya hatari, maana kilo zangu sio za mtoto, ila kanibeba fresh tu, tena mkono mmoja akiweza kufungua hadi mlango wa home kwake bila hata kunishusha, ila sidhani kama alikumbuka kuufunga tena na funguo, chezea hamu wewe. Breki ya kwanza room kwake, akanisimamisha pale, tukaanza tena kukiss, baada ya muda akaanza kunitoa nguo moja baada ya nyingine, yaani kuja kutahamaki niko uchi, jamaa ananigusa kila mahali, sikumzuia hata, nikaanza kumsaidia kutoa nguo zake pia, tukawa tunakiss huku miili yetu ikisuguana ngozi kwa ngozi, lidude linanilowanisha tu na matone matone ya ute.

kilichobaki ni yeye aamue amle mtoto wa mchungaji kwa staili gani, anishikishe ukuta pale room ale tunda kinyumanyuma, aninyanyue mguu ale tumesimama huku anaminya takoz? Anilaze kimishionari anile huku ananikiss wakati miguu yangu ikiwa imetanuka nyuzi 180? Au anitenge staili itakayomruhusu kunila huku akiinjoi view ya mtetemo wa matako na itakayompa nafasi ya kuyachapa vibao atakavyo. Tom aliamua kunilaza, yes!!! Mishionari it is…. Akiwa tayari keshakuja kwa juu, dudu ikitafuta njia, nikakumbuka……. Niko danger days.

Yani mwili ukawa u radhi, ila akili inagoma kabisa. Ilibaki kidogo niache kitachotokea kitokee, kuna muda nikawaza walau aweke saini yake, hata tako chache then ndo nimwambie, ila nikaona nisiwe mjinga, na hasa nilipomkumbuka bi mkubwa home. Yani nakumbuka nliona kabisa sura ya bimkubwa inanimbia chomoka hapo we fala…… “Baby, niko danger days……” nikasubiri walau aseme neno, Tom hakusema kitu, ila makeke yalistop akawa kama amefreez hapo juu yangu. Najua alikua anajaribu kuwaza kama anakondom humo ndani, alipogundua hana akaanza kuwaza kama atoke akatafute ama….. alipojua hana namna akashusha pumzi ndefu, bt hakutoka juu yangu. Mi nshatimiza wajibu wangu, nimemwambia hatari iliyopo, kinachofuata ni yeye sasa aamue ale au aishie kunawa, consequences za maamuzi yake tutazishare pamoja.

Ndo maana hata sikujichomoa, wala sikubana miguu, ilikua bado imetanuka, na yeye bado yupo kati kati yangu. Tom akajisogeza zaidi mlangoni kwangu, tukaangaliana, tukaanza kukiss tena, zamu hii more passionately. Yani slowly kama tunabembelezana, huko chini namsikia kabisa Tom Jr akigusa mashavu, Ney nae alikua anajifinyafinya huko ndani maskini. Nikawa nampapasa mgongoni, as if namwambia we ingia baba, si tutalea hahahaha.

Bt Tom hakuingia, akawa anaisugulisha mgongo wa dudule kama ananikanda nanii yangu. Kiaina nikawa naskia utam, nikawa namkiss zaidi, nikaanza kuzungusha kiuno slowly. Yani palivokua pamelowana huko down ilikua ni kama tunapeana massage ya kithailand. Tom nae kanogewa, ila alijizuia sana asipenye, mikono yake akaileta kwenye makalio, kwani alichukua roundi, nikamsikia anakuja, nikasubiri nione ataweza kwepa shimo na nlikua na uhakika hataweza, nikamtengea fresh azame, sjui alipata wapi akili, akailaza tumboni pale chini ya kitovu hahaha, yani alivyokauka wakati anakuja, kidogo nihisi anakata roho hahahaha. Basi ndo hivyo, walau mwenzangu akawa kapona, mimi nikawa hata sielewi. Nikamkumbatia tu kwa nguvu, walau joto lake.

*******************************************

Sijui mm ni mshamba au ni ubahiri tu, au ni kukosa exposure stahiki, au sijui ni nini ndugu msomaji? Maana pamoja na kuwa uwezo wa kuwa na gari binafsi ninao, japo kwa kuchukua mkopo, lakini sikua naona umuhimu wa kufanya hivyo. Na hata ukiniuliza basi what I want katika suala zima la kujiendeleza kiuchumi, kwa kweli sina idea kabisa. Kama hapa kazini kuna watu wanahangaika kutafuta mikopo wanunue mashamba, kuna ambao wana viwanja na kuna binti mmoja kule nlikokua nafanya kazi kabla sijahamia Arusha, yeye ameshajenga tayari.

Mie walaa, sina ambition yoyote ya kuaccumulate mali. Ila kitu ambacho kila siku kinanifanya nipambane kufanya kazi kwa bidi na maarifa ni kupata recognition. Sio ile ya kupigiwa makofi, of course hata hiyo inaumuhimu, but ile ya kuwa promoted kwa sababu ya ufanisi ulioufanya. Ndo maana uhamisho wangu wa kunileta Arusha kuongoza department ya promotion na mauzo ya kanda hii ya kaskazini was one of my great great achievements in life.

Kukosa gari la kunileta kazini kulikua kunasababisha sometimes nichelewe. Na kwa kweli hakuna kitu napenda kama kuwahi kazini, ile unawahi kabla ya boss wako pamoja na subordinates wako pia. Inanipaga sense of accomplishment mwanzo kabisa mwa siku. Leo kwa bahati mbaya ni moja ya siku nlizochelewa kidogo kama dkk 10 hivi. Kilichonichelewesha nadhani sio gari per se, ni ule uchovu wa weekend.

Tom alinichosha jamani, lakini kuchoka kwenyewe sio hata kimwili, sijui hata nielezeje, yani nlikua nahisi kama muscles ziko tense flani, na pia uvivu kuanzia wa kutembea hadi wa kuongea. Kwa mtu tunaefahamiana mda mrefu anaweza hisi labda naumwa au nakisirani, ila walaa, I was okay. Shida ni tu kuwa mwili wangu ulikua hautoi ushirikiano wa kutosha, kunyanyua hatua tu naona kama kazi nzito.

Yote hii ni nyege ndugu wasomaji. Usiombe urambiswe embe ukiwa na njaa alafu unyimwe usilile, unaeza ukalia. Ni bora hata usingeoneshwa. Ile michezo ya ijumaa iliyopita na Tom iliamsha vitu vilivyokua vimelala kwa Zaidi ya mwaka mmoja na nusu. Niwe muwazi, alipolala na kusinzia baada ya kurelease nanii zake, nlijaribu kwenda bafuni kujitibu mwenyewe, lakini kama mjuavyo jamani, kiu ya maji haimalizwi na chai. Na ubaya siku iliyofuata jumamosi na hata jpili Tom alikua bize sana, ile ya kurudi usiku mnene. Ni either alikua anakwepa kulianzisha nikiwa danger days au alikua bize kweli. Alafu leo asubuhi kasepa zake Dodoma.

Hapa kazini sasa leo kazi zikawa zinaenda kwa kujilazimisha tu, na cha kushangaza yani nikawa nasisimka kwa vitu vidogo ambavyo wala sijawahi wazia. Kwa mfano wakati nakaa kwenye kiti, ule mkono wa kiti uliponigusa kiunoni nikaskia vi shoti vinapita. Crazy ndugu wasomaji, I am going crazy.

Ili kupata walau tiba ya muda, nikaamua nimpigie Tom. Najua alikua anaendesha gari to Dom right now maana aliondoka alfajiri sana. Bt nlitaka tu nisikie sauti yake ikikoroma kwenye simu, huenda nikapata ahueni ya mwili. “halooo…”, lisauti lake nene likarindima masikioni. Siwadanganyi ndugu zangu, niliuma lips ya chini, nikakunja na shingo upande. Yaani kama kuna mtu alikua ananichungulia, ni obvious angeweza guess topic ya mazungumzo yangu. “umefika wapi mpenzi?”, nlimuuliza huku naanza kupapasa shingo yangu,….. tuliendelea na maongezi kwa kama nusu saa hivi, nikicheka kwa kila jambo analosema, yani kama kichaa kweli, kwa mfano akawa ananiambia kuna traffic alimsimamisha mitaa ya makuyuni akaomba ya chai, mi nikaangua kicheko, yani genye ni hatari wazee wenzangu, hasa genye ya mwanamke, tena mwanamke wa kinyaturu.

Ilibidi nimuage Tom ili niwahi kikao cha mipango ya promotion teams kinachofanyikaga kila jumatatu kama hii. Nlikua nishachelewa, bt bahati nzuri maongezi na Tom yalinipa poozo flani la kunifanya akili ikae sawa. Nimeingia ukumbi wa mikutano nakuta washakaa kunisubiri, vijana wa timu za mauzo walikua wamekaa kivikundi wakitaniana na kucheka. Hawa vijana wanaounda hizi timu wengi wao huwa ni wasanii. Kama sio mchekeshaji basi ni MC au dancer. So wakikutanaga wanakuaga na vituko vya hapa na pale.

Nimefika nikakaa then nikatoa maelezo mafupi pale kuhusu performance ya mauzo yao kwa wiki iliyopita, ambayo ingawa ilikua sio mbaya ila nliwaambia sijaridhika nayo. Kuna timu moja tu ambayo huwa maeneo ya jiji katikati ndo ambayo ilikua imefanya poa. Infact ilikua imevuka malengo kwa kiasi kikubwa mno, ila kama kawaida sikutaka walewe sifa, nikawataja tu kuwa wamefanya kazi nzuri ila they can do better.

Ulipofika muda wa kutoa mipango yao, kila timu ikawa inawakilishwa na kiongozi wao. Viongozi walitoa mapendekezo yao pale, then mwishoni ikawa zamu ya kiongozi wa ile timu ya city. The guy was smart, sio tu kimavazi lakini kiakili pia. Kwa kumsikiliza tu unaona kabisa huyu anajua anachokifanya. Kwanza aliomba atumie projector, jambo nililomruhusu, na akawa anawasilisha mipango ya timu yake kwa slides zilizosheheni nondo za kutosha. Full graphs, charts, numbers, percentages, yani jamaa alikua kajipanga. Anavyoongea sasa, the guy was kind of comedian, maana karibu kila mtu alikua akifurahia flow yake ya maneno na jokes za hapa na pale. I was impressed.

Mpaka nikajistukia, nikaangalia na vijana wengine mle ndani, hasa mabinti wote walikua wanamuangalia jamaa huku wakiwa na full tabasamu. Nikawaza tu huenda anawala hawa, na sikuona ambaye anaweza asikubali kuliwa nae kama akitaka, isipokua mimi of course. Sio kwamba hakua vizuri, no, alikua kijana mzuri, msafi, anajijali and fun. Bt si mnajua kuna classes kwenye jamii. Na watu walio kwenye class inayofanana ndo hulana. Mimi kutoka na huyu kijana ingekua nimejishusha sana. Alafu kingine, alikua na jina linalofanana na la mwanaume aliyeniumiza mno, wote wanaitwa Danny, so nisingeweza hata kufikiria kuwa nae in the same bed, ningeishia kumpiga mangumi ambayo sio yake.

Ila mawazo yote haya yanatoka wapi?, kwani amesema ananitaka…… ujinga tu. “Dani umesema bidhaa yetu ya ‘jipunguzie’ inapendwa Zaidi maeneo ya masoko, ila report yenu ya wiki iliyopita imeonesha tofauti…… kitu gani kinafanya ufikirie wiki hii itakua tofauti?”, nlimpiga swali ili kuonesha nlikua nafuatilia anachokisema, na pia ili kujaribu kupima depth ya uwezo wake wa kufanya analysis. Of course hakunipa jibu nlilodhani lingetosheleza, bt it was enough kujua jamaa yuko above the others kwenye hii room, na kiukweli Zaidi hata ya heads of department ambao nakaa nao kwenye management meetings. Alichokosa Dani ni Elimu tu ya chuo kikuu, lakini uwezo wa kuongoza na kubuni anao.

Kikao kikawa kimeisha so nikanyanyuka zangu nikatoka. Kufika ofisini nikakumbuka nimesahau simu ukumbi wa mikutano, nikarudi. Ile nafika mlango wa kuingia ukumbini ambao nusu yake ya juu ulikua ni kioo kinachowezesha kuona ndani, nilichokiona ndugu msomaji ilibidi nisimame tu bila kuingia ndani. Mabinti kama wanne ambao walikua madancer, walikua wamemzunguka Dani huku wanaact kumkatia viuno. Na walikua wanavikata kweli, ile slowly bt kwa ufundi. Mmoja ndo alikua kamgeukia kamuelekezea tako alafu anazungusha, wengine wote wakawa wanacheeeeka.

Ilikua wanafanyiana utani tu, bt mi na yale ma genye yangu yakanipa tena zile hisia. Alafu sasa Dani nae si akaanza kucheza nao, kama super nyamwela yani. Bahati mbaya sikua nasikia sauti ila ni kama vile kuna mziki walikua wanacheza from simu ya mmoja wapo, maana hata yale makundi mengine yakaanza kujiunga kucheza. Nikaingia ghafla, walivoniona wakastop. Kila mtu wasiwasi umemjaa usoni. Sikuongea nao hata, nikachukua simu yangu nikasepa, huku nikiwaza kile kiuno cha Dani na yule binti vilipokua vinagusana.

Kwa kweli kazi hata hazikua zinaenda. Lunch time wenzangu wananiambia tukale mm hata sikua na mpango. Nikamaliza siku kwa shida sana. Kurudi home shida ileile, tena nikiona mazingira nnayokuaga na Tom natamani angekuepo, ningempa hata kama ni kupata mimba kwa kweli nisingejali, hii hali sio. Kama kawa nikaingia zangu kuoga, yani ile kujipaka sabuni mwilini naona kama najipapasa. Nikajipitishia mikono kuanzia kifuani, nikajiminya nyonyo zangu zilizojaa ila zipo wima bado, huku najiangalia kwenye kioo, mkono nikauteremsha hadi kwenye hips, utelezi wa sabuni ukafanya niskie kama Tom ndo ananipapasa. Yaani isingekua umeme kukatika ghafla sku iyo ningefata tango jikoni hahahah.

Wiki ilikua ya mateso makubwa. Ila kilichonipa moyo ni kuwa Tom anageuza Jumapili, so walau ntatuliza mzuka. Na nlikua muwazi kwake, nikamwambia kabisa namna nnavyoteseka kwa kummiss. Na kuwa ahakikishe jumapili anakuepo Arusha. Tom akanitoa wasiwasi, tena zamu hii akaahidi atakuja na box la dume ili tusijekutwa na majanga yaliyotukuta. Ushawahi kaa na nyege mtambuka ndugu msomaji?, ile yali ya kuwa na hamu kila saa ya kila siku ukiwa macho? Ilinikuta wiki ile wandugu. Sio ofisini, sio home, sio barabarani, kila nnakokua nahisi tu viivii.

And this particular nyege got me a lot of problems....... you can guess of course ndugu msomaji.

Till next weekend

Wasalaam

Kiga.
Tom amepata ajali ya gari na kufariki akiwa safarini dodoma
Bwana ametoa bwana ametwaa jina la bwana libarikiwe
😂😂😂😂😂
 
Guys it has been an honor. Hii episode ya mwisho nimeiandika nikiwa na interruptions kibao, so mkikuta makosa ya kiuandishi mvumilie.

Nlikua na lengo la kuipeleka hii hadithi miezi kadhaa ili kila weekend tuwe wote hapa, ila naona weekends zangu zimeanza kuwa very tight. Tukijaaliwa uzima tutakutana kwa visa vingine na nitahakikisha naviandika hadi mwisho ili iwe ni mwendo wa kuvipandisha tu.

Special thanks kwa waliokuwa wanalike kila nilopoandika. Thanks kwa waliosoma na kucomment pia. Ninyi mlikua sababu ya kujiona muda ninaotumia kuandika haujaenda bure. Thanks kwa the silent majority pia, maana kwa namna moja au nyingine mlichukua muda wenu kusoma.

Lets keep in touch ingawa anonymously, na tuendelee kuinjoi visa na mikasa mbalimbali vinavyowekwa na wadau ktk jukwaa hili.

Mwisho niwaombe radhi kwa waliokwazika kwa namna moja au nyingine. Hasa ambao majina yamefanana na wahusika wa kisa hiki. Haikua lengo wala kusudi la mwandishi kutumia majina halisi, imetokea tu ki-nasibu.
Huu mwandiko naujua
Kudos mazee
 
Huezi amini jina langu baada ya hii comment yako nalo limetajwa....
Tupo pamoja mkuuu
Ukipata muda tupate muendelezo wa hii series

Kwa wakina dada hata yangu ina baka jeupe ...
Namba zangu ni 0755290108
Hahahah. Hawajakutafuta mazee
 
Huezi amini jina langu baada ya hii comment yako nalo limetajwa....
Tupo pamoja mkuuu
Ukipata muda tupate muendelezo wa hii series

Kwa wakina dada hata yangu ina baka jeupe ...
Namba zangu ni 0755290108
Jingaaa
 
Episode 11: Danny the underrated!

Ok, ndugu msomaji. Najua mpaka sasa hivi mmesikia mabaya yangu tu. Najua mpaka sasa hivi mnanichukia kwa mliyoambiwa na huyo dem wa kuitwa Neema. Well, siwezi kuwalaumu. Ila kuna upande wa pili mnatakiwa kuusikiliza na kuufahamu kabla hamjaendelea kunihukumu na kunichukia. Trust me, the devil is not as terrible as he is painted!

Mimi ni mmoja kati ya watu wachache duniani wanaopenda maisha simple. Najua mmeambiwa mimi ni choka mbaya, naunga unga tu maisha eti kisa Neema kanikuta naishi chumba kimoja. Sio kama maisha yamenipiga ndugu msomaji. Nimeamua tu kuishi namna hii, sababu nakua huru zaidi. Luxury nazijua na ninazimudu nikiamua, but I just chose a simple life. You can call me an average Joe, or whatever you want. But one thing i know, is I'm doing fine!

Naitwa Daniel Rweymamu. Nimezaliwa peke yangu, nikimaanisha mtoto pekee kwa wazazi wangu. Sikupata kumfahamu baba yangu, alifariki nikiwa na miezi miwili tu. Nimelelewa na mama pekee, but i never missed anything i ever wanted as a child. Mama yangu ni msomi haswa. Alinizaa akiwa chuo alikokua anasoma na mzee wangu. Baadae akaniacha kwa bibi baada ya mzee kua amefariki, akamalizia chuo then akaingia jeshini miaka hiyo.

Mama yangu ni aina ya wale wanawake wanaopenda sana kusoma, na yuko very smart upstairs. Alimaliza chuo akiwa na first class GPA, na akaendelea kupiga kitabu hata akiwa jeshini. Amezunguka sana huko duniani kuanzia Cuba mpaka Urusi. Kaenda sana peace keeping operations za UN na AU, na amepata medali kibao za utumishi uliotukuka jeshini. Yes, huyo ndio mama yangu, Brigedia General Christina Mwaisangula. Mwanamke wa kwanza kwenye historia ya jeshi la wananchi, kufikia cheo cha brigedia. Take it or leave it, my mom is a badass!

Itoshe kusema tu kwamba mimi ndio kila kitu kwa mama yangu. Ananipenda kuliko anavyojipenda yeye. Na hapa ndipo tatizo lilipoanzia. I went to the most expensive schools kuanzia chekechea. Nilikula nilichokitaka, nilivaa nguo za bei mbaya zilizokua kwenye trend na mengineyo mengi ambayo pesa ingeweza kununua. Nilipata kila kitu, kasoro uhuru. Sikuwahi kua huru ndugu msomaji. My mom was in charge of everything. Hadi boxer zangu alininunulia yeye. She loved me a little bit too much.

Sikuruhusiwa kujichanganya mtaani. Sikua na marafiki, wala sikutakiwa kwenda popote peke yangu. Maisha yangu yalikua ni dizaini ya pembe tatu, shule - nyumbani - kanisani. I was grounded all my childhood. Rafiki zangu walikua ni wadada wa kazi, na bibi ambae tulikua tukiishi nae. Haikua tabu sana wakati niko mdogo, ila kadri nilivyozidi kukua ndivyo nilivyozidi kuona ni jinsi gani siko huru. My mom was too protective, and i didn't like it. Taratibu nikiwa sekondari, nikaanza kuruka fensi ya shule na washkaji tunaenda club then tunarudi. Taratibu nikaanza kuiona dunia ambayo awali, nilitenganishwa nayo. Na hata nyumbani pia nikaanza kua natoka, japo bi mkubwa alikua analeta utata.

Nikiwa high school, dunia ikazidi kufunguka. Nikawajua wasichana, nikazijua starehe. Nakumbuka ilikua pale Jitegemee shule ya jeshi. Hapo nikakutana na mshkaji wangu wa kuitwa Jimmy. Huyu alikua mtoto wa uswazi, na ndie aliefanya nikaifahamu mitaa ya uswahilini, kuanzia kwao Yombo mpaka kwa Aziz Ali. Hiki kipindi hadi mmea wa kijamaica nilitumia, japo sikudumu nao baada ya kuona unanizingua. Mpaka mama anakuja kushtuka ile nimerudi home baada ya kumaliza form six, it was too late. I had fallen in love with the streets.

Pamoja na hayo, mama hakuacha kunifuatilia hata nilipoingia chuo. Yani alitaka ajue kila hatua ninayopiga, niko na nani na tunafanya nini. Mbaya zaidi, aliendelea kuniwekea mipango na kufanya maamuzi yanayohusu maisha yangu bila hata kunishirikisha. I never wanted to be an engineer, ila yeye ndio alifosi. Yani hata applications za chuo alifanya yeye. Maisha yakaendelea kwa style hiyo, huku nikiwa naplan nini cha kufanya ili nipate uhuru kutoka kwa mkoloni mama yangu. On the other side, mama aliendelea kuniona mtoto tu, ambae ni lazima anisimamie kwa kila kitu bila kujali umri niliofikia.

Siku ya graduation yangu pale UDSM, ndio siku nilyofanya maamuzi magumu. Niliamua sirudi nyumbani, wala sitafanya kazi kama injinia. Wakati mama ananisubiri nyumbani alikoandaa sherehe, mimi nilikua kwenye basi naelekea Arusha. Nilizima simu na sikumuaga mtu yoyote. Nilikuja kumpigia mama simu baada ya siku tatu nikiwa Arusha. Ndugu msomaji, nilipewa kila aina ya lawama na mikwara ila haikusaidia. I had decided to move out of my mother's shadow. Sio kwamba nilimchukia, basi tu nilitaka niwe na maamuzi yangu na achievements zangu mwenyewe as a man. Nilitaka kua huru. Yakawa masaa, zikawa siku, taratibu mama akaanza kukubaliana na hali kishingo upande, influence ya bibi pia ilichangia.

Nikaanza rasmi maisha hapa Chugga nikiwa na visenti kadhaa ambavyo nilisave nikiwa chuo. Nikapanga chumba kimoja mitaa ya mianzini, nikanunua baadhi ya vitu vya muhimu. Sikutaka hata senti moja kutoka kwa bi mkubwa, sababu najua zingekuja na masharti. Nikajipa moyo kwamba mimi ni "dona kantri", sihitaji msaada wa "mabeberu" hahaaa. Wakati nikiwa bado nawaza nini cha kufanya, nikaamua kutafuta kibarua cha kujishikiza. Nikapata taarifa ya nafasi za kazi kwenye mtandao mmoja wa simu, ila walikua wanahitajika vijana kwaajili ya mauzo. Cheti changu cha uhandisi nikatia kwenye begi, nikaenda na cheti cha form six, chenye division one to be specific. To cut the story short, nikapata kibarua kwenye kitengo cha mauzo nikiwa na wengine kadhaa ambao wengi hawakua na shule kivile.

Uwezo wangu wa kujieleza na cheti changu cha form six vikafanya nikawa team leader kwenye team yangu ya mauzo. Moja ya majukumu yangu ilikua ni kufanya presentation kutoa mrejesho wa mauzo ya wiki nzima, pamoja na kuweka mipango kuhakikisha tunafikia target ya mauzo tuliyopangiwa kama team. Kwangu ilikua rahisi sana, na taratibu nikaanza kugundua nilitakiwa kusomea sales and marketing badala ya uhandisi. Niliiwezesha team yangu kufikia targets za mauzo na kuzivuka bila shida kabisa, wakati team nyingine zikisuasua.

Siku hiyo tukiwa ndani ya ukumbi wa mikutano kwaajili ya kufanya presentation ya mauzo ya wiki iliyopita, tukaambiwa tutakua na CEO mpya upande wa promotions na mauzo kanda ya kaskazini, na kitakua kikao chake cha kwanza. Team yangu ilikua imefikia target ya mauzo na kuvuka kama kawaida yetu, pia nilikua nimeandaa presentation moja nondo sana kuhusu strategy yetu ya mauzo kwa siku zijazo. Everything was on point, hatukua na wasiwasi. Huyo CEO mpya alichelewa kuja chumba cha mikutano, kwahiyo tukawa tunapiga stori tu na utani wa hapa na pale wakati tunamsubiri.

"Naitwa Neema Kingu, ni CEO mpya wa sales and promotions kwa kanda hii ya kaskazini, nimefurahi kukutana na nyinyi siku ya leo". Yalikua ni maneno ya kwanza ya CEO mpya, alipowasili kwenye chumba cha mikutano. Hii ndio siku niliyokutana na Neema kwa mara ya kwanza ndugu wasomaji.

Tukutane episode ijayo, siku isiyojulikana!
 
thanks boss. Usichoke kuipeleka hii kitu. Hadi tujue wajeda walimfanyia nn walivyoondoka nae
 
Ohoooo! Kwahiyo kanali kateka kijana wa brigedia jenearali weka mbali na watoto
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom