Hahaha! Alijikongoja mpaka pale ngarenaro nikaenda kumchukua hapo,,, afu hajakunywa banana jamani!..aaah wapi..Nitonye?..nilimuacha anakunywa banana kule kwa Moromboo atakuwa kashindwa kuona njia ya kurudia.......hahahahaaaaaa banana nomaaa
Hahahahaaaaaa mi nilifikiri una ugonjwa wa kusahau kumbe huo.....mi ntakuwa sikutanii hadharani maana ntakusanababishia madhara Lolule ambao nikitaniwa najinyea
Hehehe! Sifanyi utani na wifi bana, si wajua wifi ni sawa na husband?ule ambao nikitaniwa najinyea
Wamekunywa...walikuwa na HB mwenzake NDUU....hahahahaaaaaa akija mkague....halafu wakaanza kushindana eti nani Handsome zaidi hahahaaa mi nkaona ishakuwa noma nkapotea kimyakimyaHahaha! Alijikongoja mpaka pale ngarenaro nikaenda kumchukua hapo,,, afu hajakunywa banana jamani!..
Gud nyt, tukutane kesho misa ya kwanza st. Teresia, au wasali mjini kati?Hahahahaaaaaa mi nilifikiri una ugonjwa wa kusahau kumbe huo.....mi ntakuwa sikutanii hadharani maana ntakusanababishia madhara Lol
Hahahahaaaa! Nduu/mamaya ni hb kuliko husband nitonye!..afu sasa vile unavomuona nitonye pale ndo katabasamu lol. Pata picha akinuna!Wamekunywa...walikuwa na HB mwenzake NDUU....hahahahaaaaaa akija mkague....halafu wakaanza kushindana eti nani Handsome zaidi hahahaaa mi nkaona ishakuwa noma nkapotea kimyakimya
Dah kesho parokiani kwetu ST Monica huku Sakina tuna Harambee ya ujenzi wa Kanisa....so ntasali huku..karibu kwenye harambee....Gud nyt, tukutane kesho misa ya kwanza st. Teresia, au wasali mjini kati?
Hahahahaaa yan picha za hawa jamaa zinanifurahishaga sana....pumzika mama Nitonye.....see u keshoHahahahaaaa! Nduu/mamaya ni hb kuliko husband nitonye!..afu sasa vile unavomuona nitonye pale ndo katabasamu lol. Pata picha akinuna!
Hahahahaaaaaa mi nilifikiri una ugonjwa wa kusahau kumbe huo.....mi ntakuwa sikutanii hadharani maana ntakusanababishia madhara Lol
Hehehe! Sifanyi utani na wifi bana, si wajua wifi ni sawa na husband?
Dah kesho parokiani kwetu ST Monica huku Sakina tuna Harambee ya ujenzi wa Kanisa....so ntasali huku..karibu kwenye harambee....
Lol......tutakuwekea order kiwanda cha pampas watengeneze za wakubwa just for you....special casematani kwangu mwiko ndugu
Teh EL kwa Arusha hana chake.....hatutaki hata kumwonahamjamualika EL kwenye hiyo harambee?