Goodbye Mr.President, Tutakumiss!

Goodbye Mr.President, Tutakumiss!

mambo ya kucheza cheza muziki ikulu dunia imeyachoka... inataka watu wa kazi... huku msoga sasa chato.. kule obama sasa mzee trump... marekani wajiandae kuisoma namba
Yani hapo hotuba zote ni kuwamulika wapiga dili tuu mwanzo mwisho
 
Hiyo siyo familia kama tujuavyo familia yaani Baba, Mama na Watoto, huyo Michelle ni Mwanaume, au kwa neno la kisasa transgender!
Tehehehe hehe, kweli CCM ina viumbe wa kila aina.
 
Obama mtu wa kazi, kazi na dawa. Ila Republicans hawakutaka afanye kazi itakayeweka kumbukumbu ya Kiongozi(Rais) mweusi katika taifa la Marekani.

Obama siyo mtu mweusi!
 
Kwanini Barbarosa, mbona wakina Trumputin wana hate collour ya ngozi yake?

Hata Waafrika pia wangembagua Obama, hivyo usiangalie wengine tu, Obama angegombea Kenya au Tanzania asingepita kwani tungemuita Mzungu, rejea kwa nini Hans Pope tunamutita Kaburu?
 
Kusema kweli nikisema nitammiss Obama nitakuwa mnafiki niliyetukuka.Niache kummiss JK anayenihusu nimmiss mtu ambaye ana watu wake mamilion wa kummiss!!
Kwa unafiki tu;wabongo siwawezi.
 
Hata Waafrika pia wangembagua Obama, hivyo usiangalie wengine tu, Obama angegombea Kenya au Tanzania asingepita kwani tungemuita Mzungu, rejea kwa nini Hans Pope tunamutita Kaburu?
Kwa case hiyo nimekuelewa, maana yake Obama sio mzungu wala Mwa-Afrika, rejea waafrikana wa south.
 
utammiss as whom are you? hahaha watanganyika bhana
 
Hiyo siyo familia kama tujuavyo familia yaani Baba, Mama na Watoto, huyo Michelle ni Mwanaume, au kwa neno la kisasa transgender!
Huyo Transgender alikufanya nn mkuu?
 
Back
Top Bottom