KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 19,882
- 40,049
Unapitia yapi?Leo nimeamua kwaherini****
Pole sana hope kuna jambo zito unapitia ,Mungu akuteteeNaomba msamaha kwa wana JF wote mnisamehe
Shida nini mkuu?Leo nimeamua kwaherini****
Dhambi gani umetenda mpaka unaona hustahili kuishi?Nimekosa sana sitahili tena kuishi mimi ni mwenye dhambi.ila kabla sijakata roho naungama dhambi zangu zote nisamehewe
ChaiNimekosa sana sitahili tena kuishi mimi ni mwenye dhambi.ila kabla sijakata roho naungama dhambi zangu zote nisamehewe
Acha tusubirie tusipomwona kesho tutajuwa tayari marehemuChai
Isaya 1:18Nimekosa sana sitahili tena kuishi mimi ni mwenye dhambi.ila kabla sijakata roho naungama dhambi zangu zote nisamehewe
"Haya, njoni, tusemezane, asema Bwana; dhambi zenu zijapokuwa nyekundu sana, zitakuwa nyeupe kama theluji; zijapokuwa nyekundu kama bendera, zitakuwa kama sufu." acha mawazo ya hasi mtafakari Mungu kivingine