Good practices za ualimu kulikoni? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Good practices za ualimu kulikoni?

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Ndumbayeye, May 29, 2009.

 1. Ndumbayeye

  Ndumbayeye JF-Expert Member

  #1
  May 29, 2009
  Joined: Jan 31, 2009
  Messages: 4,785
  Likes Received: 1,038
  Trophy Points: 280
  Nimekuwa kwenye taaluma ya ualimu karibu miaka 10 sasa. Nafadhaishwa sana na ulazima wa wakuza mitaala kubadilisha kila wakati nyaraka zinazotumika kuandaa vipindi yaani maazimio ya kazi maandalio ya masomo vitabu vingine vya kumbukumbu za kufundishia. Kwa uzoefu wangu vyote hivi silolote katka ufundishaji. Kwanini nukuu zilizoandaliwa vizuri za kila mada zisichukue nafasi kwa nilivyotaja hapo juu kama sehemu ya good practices za ufundishaji. Wale wazoefu wa ualimu na wasomi wengine naomba maoni yenu.
   
Loading...