Good old days

Yaani!!! Hivi inakuwa ni kitu gani? Ndio hormones ama!?
Yaani we km mm, nilikuwa na kilo hizo ulizozitaja, nikifika nyng basi hizo 50
Saivi napambana na kupunguza kilo mpk na give up
Halafu kuna watu unakuta wanapeta tu, wao muonekano haubadiliki na hawana bidii yyt 😒
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…