Sawa nitajitahidi,.Activity zinapungua--unatumia usafiri zaidi ya miguu yako.
Hukimbizani kimbizani tena....ukiweza kujitafutia visafari vya kutembea kwa miguu na shughuli za mikono hata mara moja kwa wiki itakusaidia.
Nimeupenda huu usharudiLeejay49 usije ukajidanganya kusikiliza watu humu..
The very thing inayo kupa stress ndo chanzo cha unene wako.. Ondoa stress na matarajio.. Anza kula kidogo,
kimbia hata 4 to 6 km per day
Kama unayo hela tafuta gym program mahususi kwa ajili ya weight loss
Fasting ni mbaya sana.. Ukiacha kula mwili unakuja kunyonya madini zaidi hata ukila kidogo so unarudi pale pale
Acha kujilaza kwenye couch kwa muda mrefu, Usipende usafiri kama uendapo ni karibu
Inshort usiwe na matarajio. Penda routine yako na uifate bila shuruti
BelowUko above au below hiyo 60?
Nimekupa ukweli ushauri watakua wengineNimeupenda huu usharudi
Asante😍
Ninayo akiba😀, sijasema kwa ubayaWeka akiba totoo siku ukishusha engine utajua hujui 110Kg kama utani Michirizi kila sehemu
Mwezi wa 12 utakua na zaidi ya hapo, kipimo hakidanganyi.Ninayo akiba😀, sijasema kwa ubaya
My point nitafurahi sana sababu sijawahi toka nizaliwe
Sawa hebu tuoneMwezi wa 12 utakua na zaidi ya hapo, kipimo hakidanganyi.
Hizo kilo bado sana. Ngoja niendelee kukulisha vinono ufike angalau kilo 90.
Wee sitaki kuwa lishangazi linene sasa loh!Hizo kilo bado sana. Ngoja niendelee kukulisha vinono ufike angalau kilo 90.
Ukicheza vibaya shanga itafichwa na minofu.
Mimi napenda ubonge wangu ila watu hustaajabu nilikua kembamba mnooUnene sio mzuri
Mi nataka mbona.Wee sitaki kuwa lishangazi linene sasa loh!
Umeona unikatishe tamaa sio😁Ukicheza vibaya shanga itafichwa na minofu.
Ntashindwa kutembea😒Mi nataka mbona.
Sikukatishi tamaa bn.Umeona unikatishe tamaa sio😁
Basi sawaa..🥲Sikukatishi tamaa bn.
Siku ukishusha hadi 60-65 uniambie nikupe zawadi yako.Basi sawaa..🥲