Good news. Umeme hautokatika tena.

Good news. Umeme hautokatika tena.

Wamtoe pepo wa kauli zenye ukakasi!!!!
attachment.php
 
Mvua inaombewa?? .... inatengenezwa.
Mhe.Kobello.. Naam (yes) kama kuna ukame ardhini au adimiko la mvua kwa muda mrefu; Hapo inawabidii wana mji/wanavijiji,nk kujitokeza kwa wingi na kukutana uwanjani na kusali raqaa 2 na kuomba MwenyeEnzi Mungu kwa pamoja kuwa awateremshee mvua yenye kheri na siyo Mvua yakuangamiza. "Hakika bila kuchelea Moula Karimu hujibu maombi" na kwa rehema zake huteremsha matone ya maji kutoka angazake kabla ya mtu wa mwisho kuondoka uwanjani. Neema BiLLah.
 
Mhe.Kobello.. Naam (yes) kama kuna ukame ardhini au adimiko la mvua kwa muda mrefu; Hapo inawabidii wana mji/wanavijiji,nk kujitokeza kwa wingi na kukutana uwanjani na kusali raqaa 2 na kuomba MwenyeEnzi Mungu kwa pamoja kuwa awateremshee mvua yenye kheri na siyo Mvua yakuangamiza. "Hakika bila kuchelea Moula Karimu hujibu maombi" na kwa rehema zake huteremsha matone ya maji kutoka angazake kabla ya mtu wa mwisho kuondoka uwanjani. Neema BiLLah.
Kwa heshima na taadhima sidhani kama huo ni ukweli.
 
Kwa heshima na taadhima sidhani kama huo ni ukweli.
Nimepokea Shukrani zako; Ahsante.. Kwa kuwa upeo wakuelewa na kumfahamu Muumba wa kila kitu yaani MwenyeEzi Mungu haujakinai kweli itakuwa vigumu kwa dhanaa zako kukiri na kuwa makini katika wasaa wa elimu hii. Mimi Al-hamdulillah ninaAmini yaliyoteremshwa na Mwenyeezzi Mungu i.e :- Vitabu, Mvua, Chuma (hadeed),Riziki, nk. Hivyo kwangu rahisi sana kukubali kuwa mvua huwa kwa uwezo wa Mungu. " Nimeweka Dhanaa njema kwa aliyeUmba Ardhi na Mbingu bila kuekeza kwa nguzo " (without pillars)
Good luck kobello..
 
Mtakatifu Ivuga, mimi nilikuwepo siku hiyo picha inapigwa, watu wa mungu walikuwa wanahangaika kufukuza pepo wa uongo " mgao wa umeme utakuwa historia", toka aliposema ni sehemu ya maisha yetu, watoto wetu na wajukuu. Akanena kuwa " wazalendo hawana hela za kuwekeza kwenye gesi, wanachoweza ni biashara ya juisi na maji". gazeti la Forbes likaonesha jinsi baadhi ya watanzania walivyo liquid. Watu wa mungu wakaona wakemee na kufukuza pepo wa uongo!!!!!!
 
Baba tunakemea pepo la Uongo kwa jina la Yesu limtoke mtu huyu awe na kauli za ndiyo iwe ndiyo , hapana iwe hapana. Baba tunavunja nguvu za kibabe na dharau ndani ya moyo wa mtu huyu, maana amekuwa hawajali wananchi hasa wa Mtwara na sehemu nyinginezo wanachomshauri.

Ndimi mbili mbili kama nyoka aliyefukzwa bustani ya Eden zishindwe katika jina la Yesu auliye hai. Na wote tuseme Ameeen...
 
KWANI NI MVUA hadi iombewe..? Umeme unashughulikiwa na kulipiwa hakuna maombi kwenye electricity!!
Kama uchawi upo na Hata nguvu za Mungu zipo. Umeshasikia ishu ya Kaburi la Chifu Kiyeyeu pale Iringa?
 
Mkuu hapo palizikwa chifu mmoja wa kihehe zamani sana, Tanesco baada ya kubomoa nyumba za watu wote na kupitisha nguzo za umeme walitaka kufukua makaburi hayo ili wapitishe umeme.

Wazee waliokuwa wanajua nguvu zisizoonekana za chifu huyo aliyezikwa hapo waliionya Tanesco kutochimbua makaburi hayo. Kama unavyoijua serikali ya Kibongo kwa ubabe siikataka kufanya kama ilivyomfanya Kakobe Mwenge, Mkuu umeme ulikuwa haupiti hapo, hata pale wataaalu walipokwenda na kupima nguvu ya umeme ilionekana umeme ulikuwa upo ng'ambo ya pili lakini haukukatiza eneo la makaburi kufikia ng'ambo ya pili.

Ilikuwa hivyo mpaka pale Tanesco walipoamua ku-diverge na kupitishia nguzo zao sehemu nyingine (ng'ambo ya pili ya barabarara).
 
Back
Top Bottom