Kaveli
JF-Expert Member
- Dec 4, 2012
- 5,479
- 9,020
ngoja nichakachue zuku tena nirudi kwenye free chanel zangu za cotinental..hakuna kulipia kitu kwa mwez hapa.
Mkuu wiseboy, ebu nishauri... nipo njiapanda, nichukue Zuku or Continental ? Kuna mtu kanambia kuwa tatizo la Zuku picha zao sio HD!
Continental picha zao zote ni HD ila tatizo lao ni signal kukatakata kila mara.
Je hayo maelezo ni sahihi ?
-Kaveli-