Good news: Channel za continental zimerudi hewani

Kuna ndugu yangu amenunua dishi lao sasa anaulizia vifurushi vyao na kiasi kwa mwezi. Mwenye ujuzi atuambie au mtumiaji kwamba vifurushi vyao vinaanzia shilingi ngapi na kila kifurushi kina channel ngapi?

Na jee unalipia kupitia m-pesa, tigo pesa au wao ni tofauti?
 
Unanunua dishi dukani bei ya vifurushi unauliza JF
 
Huyo rafiki yako aliye nunua anazo taarifa, muulize!
 
wakuu nataka kuhamia continental naulizia vifurushi vyao vikoje na vinaanzia shilingi ngapi???
naskia uko pana unafuu
 
kuna ukweli kuwa continental wameshusha vifurushi hadi wana cha elfu nne?
nauliza maana customer care wao kwenye mitandao ya kijamii wapo kimya miezi kadhaa sasa
Hizi ni tetesi nimesikia jamani.kuna ukweli???
 
Vifurushi, siku 1 @1,000 , Siku 7 @3,999 , Siku 15 @7,999 , Siku 31 @11,999 . Continental Decoder The quality to talk about

Mawasiliano
+255 766 249 999 / +255 686 249 999

or

+255 757999885 / +255 719705353
 
duuuuuuh mbona naskia mna kifurushi cha elfu nne kwa mwezi nzima???
 
Ukitaka kufa kwa pressure hamia huko, satellite inapoteaga hata miezi haijulikani iko wap. No mawasiliano
 
We tangatanga na vingamuzi tu wenzako tushaingia kwenye ndoa hizi za vingamuzi tumeamua kutulia navyo tu ukitaka kuvichunguza utahama kila siku vyote balaa mke mwema kwa vingamuzi ni dstv tu ila kama si size yako chukua changudoa yeyote(azam,continenal,ting,zuku) ishi nae kwa matumaini au kama wewe nae ni hodari wa kuchepuka chukua free to air uondoe stress za ndoa za vingamuzi
 
tatzo huko.ni.pesa nyingi.mkuu
 
Back
Top Bottom