Dr Matola PhD
Platinum Member
- Oct 18, 2010
- 62,636
- 112,434
Diallo alidhani kuishabikia ccm kungeboost biashara yake!?
Ndugu yangu Diallo umetubeba sana sintokusahau....by Magufuli.
Na bado atauza mpaka buku, kwanza huko sahara media mimi cha muhimu kwangu ni Bbc swahili tu ya saa 3 usiku na Salim Kikeke.