Michael Amon
JF-Expert Member
- Dec 22, 2008
- 8,769
- 3,644
- Thread starter
-
- #61
umeonaeeehhh?? atakuwa amesamehewa am sure, ladies huwa tupo soft sana, ukibembelezwa kidogo tena kwa maneno matamu kama haya, lazma usalute! ol the best in your relationship YM, na usirudie tena kumkosea huyo binti.
most welcome! nimekuandalia your favourite food na nimevaa kile kipant unachokipenda! nakungojaje sasa???
mie nipo serious, we mwenzangu kumbe watania??? njoo haswa kungu la kina zinduna zanzibar lishakolea, tena sijalila kavukavu mmmhhhh, nimelikorogea uji, sasa hivi nasikilizia stim halafu kumbe we watania, ebo! hebu fanya hima nakungoja!Ohooo!!! baby usinifanye nikaufufa ule ungo wangu nikaja huko sasa hivi.
Young_Master, we una wapenzi wangapi??Ohooo!!! baby usinifanye nikaufufa ule ungo wangu nikaja huko sasa hivi.
umeonaeeehhh?? atakuwa amesamehewa am sure, ladies huwa tupo soft sana, ukibembelezwa kidogo tena kwa maneno matamu kama haya, lazma usalute! ol the best in your relationship YM, na usirudie tena kumkosea huyo binti.
Hongera zako shosti.....namuona Young_Master has a soft heart for you!
hehehe kipipi usinipe raha! ni kimjinimjini tunabanana hivyohivyo, hata 'm' nahisi nitamuacha! nishafall kabisa kwa YM! Mwambie ticah asijal tutashare, 3some ndio mpango mzima! auHongera zako shosti.....namuona Young_Master has a soft heart for you!
kipipi nawewe ni mfukunyuku kha!? jamani huyo ni ubani wangu wa huku kwa job, lolest! sio wa jei efu! jei efu ni YM peke yake, si unajua mpango mzima wa vidumu kila sector?Kwa hiyo ndiyo wewe ulimwambia jana kuwa amekuboa??
kipipi so does my heart for you....vp za siku??? vp kale kampango ketu kaleee......?????
hehehe kipipi usinipe raha! ni kimjinimjini tunabanana hivyohivyo, hata 'm' nahisi nitamuacha! nishafall kabisa kwa YM! Mwambie ticah asijal tutashare, 3some ndio mpango mzima! au
kipipi nawewe ni mfukunyuku kha!? jamani huyo ni ubani wangu wa huku kwa job, lolest! sio wa jei efu! jei efu ni YM peke yake, si unajua mpango mzima wa vidumu kila sector?