acha tu kipipi! ila mwenzio nimetendwa, hivi kipipi mtu unampenda na nahisi analitambua hilo, ila anakwambia kutokana na msg uliyomtumia UMEMBORE utajisikiaje?? ni msg ya kumuelewesha yaloyojiri ila nimeambulia neno UMESHANIBORE, Kipipi imeniuma, nahisi upweke moyoni, natamani chelsea ingekuwa inacheza leo, labda ningeusuuza moyo wangu, wengine wanapewa maneno matamu kama hayo ya YM, wengine tunaambulia karaha moyoni! nipe pole shostito!Maneno mazito sana haya.
Ukiambiwa unaweza kuzimia kwa utamu wa hisia!! lol
GOOD MORNING,
HOW ARE YOU??
POA,TAKUTANA CAPACHINO RESTAURANT ltr, 2 gt Breakfast!!
utajiuwaje ikiwa unapewa maneno matamu kama haya.
Usije ukalitupa likazunguka duniani...Thanks Charminggirl. Your message is delivered.
Watch what you are saying The secretary utapigwa. Shauri yako, usije ukasema sijakwambia.
Atakayenipiga nampiga nime quote tu sikumaanisha wewe namaanisha wangu mwandani
Kwa hiyo ukipewa maneno matamu ndio utajiua? elly_black
Kipipi yana uzito kama gunia la simenti au?
acha tu kipipi! ila mwenzio nimetendwa, hivi kipipi mtu unampenda na nahisi analitambua hilo, ila anakwambia kutokana na msg uliyomtumia UMEMBORE utajisikiaje?? ni msg ya kumuelewesha yaloyojiri ila nimeambulia neno UMESHANIBORE, Kipipi imeniuma, nahisi upweke moyoni, natamani chelsea ingekuwa inacheza leo, labda ningeusuuza moyo wangu, wengine wanapewa maneno matamu kama hayo ya YM, wengine tunaambulia karaha moyoni! nipe pole shostito!
.kwanza ukipewa
maneno matamu
na mchuchu una-
weza kuhisi dunia
unayo mkononi.
Na ingekuwa kama gunia la simenti yasingekuwa effective maana likikulemea laweza dondoka lenyewe!!
When it comes to haya maneno Young_Master, yanakulegeza kila idara......ikiwemo mwili, roho na akili!!
:crazy:
Mhmmm!!! ya kweli hayo Kipipi?
I assume you to be my witness Young_Master, for naamini kuwa waijua situation kamili hasa kwa mtu aliyekukoleza!!
about mapenzi thats what they say, but don put it in a way u will b feeling like unadanganywa! just believe,!Woooow!! Those words are so sweeeet... Mmmh....Ukiambiwa hivi unahisi the Whole World is yours...Kweli mapenzi hayonogi bila ka uongo..!
How can i be your witness Kipipi wakati i dont even know unavyokuwa ukiwa crazy for someone?
Come on Young_Master!!
Make yourself an example....ndo maana nikasema I assume!! (I don't expect you to deny this....unless uniambie hayo uloyaandika are not to be meant) lol
Ok. Umeshinda Kipipi
umeonaeeehhh?? atakuwa amesamehewa am sure, ladies huwa tupo soft sana, ukibembelezwa kidogo tena kwa maneno matamu kama haya, lazma usalute! ol the best in your relationship YM, na usirudie tena kumkosea huyo binti.Haya nenda kamkumbatie huyo mwenzio.....usijemuudhi kwa mara nyingine tena ukaanzisha uzi wa double sorry.....LOL!!!
:hug: