Good luck and all the best in your Marriage

Good luck and all the best in your Marriage

Subiri ma tabloids sasa yatakapoanza kupaka, ni hatari! [emoji1]
 
Huyu prince Harry amefata nyayo za King Edward VIII
[emoji23]
Ukimtazama facial expression..body language hata anavyotembea..huyu jamaa ni amepinda ila ile social status inambana sana! sio mpole hata kidogo..walau kaka yake ana haiba ya utulivu kidogo..tafuta videos zake yuko na Meghan..kala kata K ya maana!
 
Acheni uhuni huyu jamaa jana si nimemfumania na demu wangu hapo keko ni msukuma hata kiswahl hajui, hicho kingereza kajua lini?, huo uprince kapata lini? Samahan lakin au ndo Prince Harry? Kama ni yeye sawa.

Live long jf.
 
Ukimtazama facial expression..body language hata anavyotembea..huyu jamaa ni amepinda ila ile social status inambana sana! sio mpole hata kidogo..walau kaka yake ana haiba ya utulivu kidogo..tafuta videos zake yuko na Meghan..kala kata K ya maana!
pia facial expression ya ki MI6 kabisaa..
 
Namkubali mchizi kuwa pamoja na kibano cha hadhi yake anajitahidi kufanya yake kadri awezavyo..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom