Good husband is hard to find nowdays

Good husband is hard to find nowdays

tatizo cku izi mnanjiangalia sanaa......life is all abt taking risks nasema kila cku ..do ur part the rest is secondary
 
if ur not the husband/wife...how can u tell the qualities of the husbands/wives??!! and before one gets married u have to make sure ur content with ur future lifemate.....

If that has been the case ,Why married she/he cheats(michepuko),get children out of their marriage,abandoned their families etc
 
Hauko sahihi, mimi nimeishi kwenye nchi zinazotumia kingereza tu, ukweli ni kinyume na unavyoelewa.
Inawezekana sipo sahihi kwa uelewa wangu. lakini nachojua ni kuwa waTZ wakitoka mara nyingi hupata shida kuanza, ila bahati nzuri sisi tunajifunza haraka, kwa hiyo wengi baada ya miezi kadhaa wanakuwa huru kujichanganya.
Kingereza chenye manufaa ni cha mawasiliano bila kujari ni broken au lah.
Kwa uelewa wangu, lugha yenye manufaa inategemea na mhusika. Kwa mfano, anayetoka kwa lengo la kufanya biashara, anatafuta kueleweka tu, hata kwa nia ngumu..ili mradi aeleweke na afanye biashara, lakini kwa anyeenda ughaibuni kuishi kwa kusoma au kufanya kazi, lugha ni muhimu sana, tena sio broken, ila uelewa wa ufasaha ili kazi ifanyike kwa ufasaha. So inategemea na nini kimekupeleka huko.

Maajabu ya kingereza huyu wtoa mada kwa mfano anaweza kushindwa kuongea kingereza na mzungu lakini anajuwa kusoma kiufasaha kingereza na kuandika na hao ndio wamejaa JF kazi kuangalia umekosea wapi spelling wakukosoe wakati yeye na wewe mkiwekwa mdahalo kwa kingereza ni lazima atafute chochoro.
Naamini hivyo pia, wengi wetu tunaandika lakini kuongea ni ishu. Kwa vile huko mashuleni tulikuwa waoga kuongea mbele za watu, ukizingatia wengi tumesoma shule za kawaida sana.
Mimi binafsi kingereza cha kuongea sikujulia shuleni bali katika nchi nilizoishi, shuleni nilijuwa kusoma na kuandika tu.
Basi unaweza ukawa mzuri kwenye kuongea kuliko kuandika kwa ufasaha...wengi wapo hivyo
 
kitambo tu nilishaamua mm kuoa hapana achana na wale bado niponipo kwanza....mm nina maadili yangu niliyoyajenga kwa misingi yangu, siwezi kuungana na mtu halafu aje abomoe nilichokijenga...dunia hii imekuwa ya kuviziana tu...eti demu alikuwa hakuzii wala hana mpango na ww kabisa lakini akiona uchumi wako unaimarika anaanza kujivutavuta....narudia tena sina mpango wa kufuga JOKA nyumbani kwangu.
 
wanaume wengi nowdays they are pretenders
so sometimes tunaingia chaka kwa kweli
only god knows which is which!
 
If that has been the case ,Why married she/he cheats(michepuko),get children out of their marriage,abandoned their families etc

people,life,situations can change......u can not guarantee what will happen in the next hour/day/month/year
 
To mention few,commitment of fidelity,being selfless,faithful,hard work ,share life goals,respect for human life,confident etc

It's a lock-key mechanism !!!
Suitability of the above mentioned depends on the recipient!!!
 
Inawezekana sipo sahihi kwa uelewa wangu. lakini nachojua ni kuwa waTZ wakitoka mara nyingi hupata shida kuanza, ila bahati nzuri sisi tunajifunza haraka, kwa hiyo wengi baada ya miezi kadhaa wanakuwa huru kujichanganya.

Kwa uelewa wangu, lugha yenye manufaa inategemea na mhusika. Kwa mfano, anayetoka kwa lengo la kufanya biashara, anatafuta kueleweka tu, hata kwa nia ngumu..ili mradi aeleweke na afanye biashara, lakini kwa anyeenda ughaibuni kuishi kwa kusoma au kufanya kazi, lugha ni muhimu sana, tena sio broken, ila uelewa wa ufasaha ili kazi ifanyike kwa ufasaha. So inategemea na nini kimekupeleka huko.

Naamini hivyo pia, wengi wetu tunaandika lakini kuongea ni ishu. Kwa vile huko mashuleni tulikuwa waoga kuongea mbele za watu, ukizingatia wengi tumesoma shule za kawaida sana.

Basi unaweza ukawa mzuri kwenye kuongea kuliko kuandika kwa ufasaha...wengi wapo hivyo

Nadhani kimsingi tumekubaliana kihoja wakati nafanyakazi kwenye kampuni moja ya kigeni mkuu wangu wa kitengo alikuwa ni mfaransa na anaongea kingereza vizuri tu lakini ilikuwa akiandika e-mail kwa wazungu wanaotumia kingereza lazima aniite kumtafsiria baadhi ya sentesi.

Na kilichomsabisha mpaka kingereza cha kuandika kimsumbuwe ni computer yake na simu vyote language ameseti French. Ndio maana wajuwaji wa JF huwa nawasanifu tu na kuwaona ni watu wasiojitambuwa.

Unakumbuka uchaguzi wa wabunge wa SADC? Wale wagombea wakionesha vyeti vyao ni lazima ukimbie kumbe kujieleza kwa kingereza hawajuhi wakati kahaba tu kama Wema Sepetu ukimuhoji kwa kingereza anao uwezo mkubwa wa kujieleza kwa kingereza mbele za watu.
 
kitambo tu nilishaamua mm kuoa hapana achana na wale bado niponipo kwanza....mm nina maadili yangu niliyoyajenga kwa misingi yangu, siwezi kuungana na mtu halafu aje abomoe nilichokijenga...dunia hii imekuwa ya kuviziana tu...eti demu alikuwa hakuzii wala hana mpango na ww kabisa lakini akiona uchumi wako unaimarika anaanza kujivutavuta....narudia tena sina mpango wa kufuga JOKA nyumbani kwangu.

Hahaaaa! Si mchezo huna mpango wa kufuga joka nyumbani.. Joka halikawii kummeza mwenye nyumba siku moja..
 
people,life,situations can change......u can not guarantee what will happen in the next hour/day/month/year

Briliant; flexibility and preparedness to cover the weaknesses when need be and complement for the bond's existance!!!!

Again it takes two! !!
 
Truth kupata mwanaume anayeeeleweka kwa sasa imekuwa sheederr. Na pia wanaume kupata wanawake wanaoeleweka imekuwa shida...

Ila bora wanaume kutafuta mwanamke kuliko mwanamke unayejielewa kupata mume unayemtegemea kuwa nae...na hii ni sababu sisi hatutongozi...na ukifikiria kumtongoza unaona atakuona hufai...
Wanaume wanaojielewa wamekuwa wachache sanaa...Wengi wanapenda maisha ya kujirusha starehe mbele kuliko kufikiria maisha, kufikiria kuwa na familia bora mbeleni. Wanaolelewa ndio wapo kibaooo, kula kulala...

Kwa upande wa wanawake nao kutokana na hili jambo la haki sawa kwa wote basi wengi wamejisahau kwa kujitambua kuwa wao ni wanawake, na wamama. Wamekuwa wakithamini kazi, wamekuwa wakijisahau kazi yao ya umama na kuwa na sauti, hawapendi kuamrishwa, kuonywa, wakiwa na watoto wanawalea ndivyo sivyo basi tabu tuupu.

Dahhh mungu atunusuru..

I always visit here in jf and watch others member post and comments,very seldom i take out my time to write my own post.

Today i would like to share with u guys how hard has it become for ladies to get good husband,if u look at the trend and the direction we are heading to, apparent the number of husband material is drastical falling, not to forget that population increase prove one fact that the number of female is higher than male, in the past i used to witness a lots of marriage in my community per annum, the same is not true nowadays,based on my understanding i will attempt to explain why a good husband material is hard to find in this generation,and why most of men not prefer to marry and end up in cohabitation or gather children from different mothers if not one and raise as a single parent and vice versa.

Why a husband material is hard to find nowadays things have completely changed, globalization came in with a lot of effects.

Those effects are very visible to youth,let take a look at youth's life style, the number of gays increase at the increasing rate, the number of youth addicted to drugs and alcohol is almost at it's best.

The generation of hard workers is coming to an end, nowadays youth want to do little and get a lot in shortrun, most of youth prefer relation with aged women in return for something(marioo style), very few boys keep themself okay to one day take on as the head of the family.

Good husband material is hard to find since the number of female is higher than us, female are ought to pick the best male who will surely meet her expectations.

For us men we are also going through a lot of difficulties in searching for wives,my interest today was to focus on female.

I STAND TO BE CORRECTED
 
"the number of youth addicted to drugs and alcohol is almost at it's best." nadhani hii ni sababu moja kubwa.
 
Kizazi cha kusema kuoa hapana inamaana wewe utakuwa mzinifu hadi kufa, na kuendelea kuwatenda mabinti za watu na kutembema na wake za watu hadi kifo kitakukuta ktk uzinifu...Huo si uamuzi sahihi...

Uamuzi sahihi ni wewe mwenyewe kujibadili, na hivi unavyoendelea kukua uwe makini ktk kuselect wife...Ujue wife gani unamtaka sio lazima awe anasifa zooote ila tabia ndio muhimu kuliko vyooote....Ukikosea kuoa ni maisha yako yooote umeyaharibu.... Uzuri wa mwanamke si hoja usiangalie shape au sura, Umri si hoja, Rangi si hoja, bali TABIA ni kitu muhimu sanaana...

kitambo tu nilishaamua mm kuoa hapana achana na wale bado niponipo kwanza....mm nina maadili yangu niliyoyajenga kwa misingi yangu, siwezi kuungana na mtu halafu aje abomoe nilichokijenga...dunia hii imekuwa ya kuviziana tu...eti demu alikuwa hakuzii wala hana mpango na ww kabisa lakini akiona uchumi wako unaimarika anaanza kujivutavuta....narudia tena sina mpango wa kufuga JOKA nyumbani kwangu.
 
its not like that budy
hata wanawake wapo pretenders so
ndoa asa hv its like gambling!

So you agree it was a harsh judgement, huh!
it's a two way traffic, hamna jinsi inayoaminika karne hii..!
 
Back
Top Bottom