Baba Wille
JF-Expert Member
- Feb 9, 2014
- 548
- 554
Jamani hiki kingereza ni dialect gani, hii grammar na poor vocabulary mmeitoa wapi? Tumieni kiswahili basi mbona wabongo ndo wengi humu ama unataka tujue kuwa lugha huiwezi? Very funny!!
ha ha ha..! mkuu hapo sina la kusema!!Nadhani kimsingi tumekubaliana kihoja wakati nafanyakazi kwenye kampuni moja ya kigeni mkuu wangu wa kitengo alikuwa ni mfaransa na anaongea kingereza vizuri tu lakini ilikuwa akiandika e-mail kwa wazungu wanaotumia kingereza lazima aniite kumtafsiria baadhi ya sentesi.
Na kilichomsabisha mpaka kingereza cha kuandika kimsumbuwe ni computer yake na simu vyote language ameseti French. Ndio maana wajuwaji wa JF huwa nawasanifu tu na kuwaona ni watu wasiojitambuwa.
Unakumbuka uchaguzi wa wabunge wa SADC? Wale wagombea wakionesha vyeti vyao ni lazima ukimbie kumbe kujieleza kwa kingereza hawajuhi wakati kahaba tu kama Wema Sepetu ukimuhoji kwa kingereza anao uwezo mkubwa wa kujieleza kwa kingereza mbele za watu.
I always visit here in jf and watch others member post and comments,very seldom i take out my time to write my own post.
Today i would like to share with u guys how hard has it become for ladies to get good husband,if u look at the trend and the direction we are heading to, apparent the number of husband material is drastical falling, not to forget that population increase prove one fact that the number of female is higher than male, in the past i used to witness a lots of marriage in my community per annum, the same is not true nowadays,based on my understanding i will attempt to explain why a good husband material is hard to find in this generation,and why most of men not prefer to marry and end up in cohabitation or gather children from different mothers if not one and raise as a single parent and vice versa.
For us men we are also going through a lot of difficulties in searching for wives,my interest today was to focus on female.
I STAND TO BE CORRECTED
Why don't you use English?so as the thread writer to understand also?
Hahaaa...haya ila inabidi tumuombe mleta uzi ruhusu, inawezekana hajui kiswahili lol!Hahaha, ni vema kutumia Kiswahili ili wote tuelewe
Naona zamu hii mnadili na wanaume
Hahaha, ni vema kutumia Kiswahili ili wote tuelewe
Hizo sababu alizozitoa hapo, kwa upande wa pili zinafanya iwe vigumu kupata mke mwema.
Siku hizi wanawake hawafanyi kazi wao wanataka kukaa saluni wakirembwa wiki nzima.
Naona zamu hii mnadili na wanaume
This is absolutely the truth,most of the youth are unconsciousness.
ILLU SAMAHANI kama wewe ni ke umeandika ukweli halisia Bila Upendeleow wowote please nina muda mrefu sijona ukweli huu toka kwa mwanamke,please nataka nikupe complimentary I will send some credit via PM for 2 networks TIGO&ZAIN.FOR 6 MONTHS KESHO. UR OPEN SPEAKING FOR BOTH SIDES.Truth kupata mwanaume anayeeeleweka kwa sasa imekuwa sheederr. Na pia wanaume kupata wanawake wanaoeleweka imekuwa shida...
Ila bora wanaume kutafuta mwanamke kuliko mwanamke unayejielewa kupata mume unayemtegemea kuwa nae...na hii ni sababu sisi hatutongozi...na ukifikiria kumtongoza unaona atakuona hufai...
Wanaume wanaojielewa wamekuwa wachache sanaa...Wengi wanapenda maisha ya kujirusha starehe mbele kuliko kufikiria maisha, kufikiria kuwa na familia bora mbeleni. Wanaolelewa ndio wapo kibaooo, kula kulala...
Kwa upande wa wanawake nao kutokana na hili jambo la haki sawa kwa wote basi wengi wamejisahau kwa kujitambua kuwa wao ni wanawake, na wamama. Wamekuwa wakithamini kazi, wamekuwa wakijisahau kazi yao ya umama na kuwa na sauti, hawapendi kuamrishwa, kuonywa, wakiwa na watoto wanawalea ndivyo sivyo basi tabu tuupu.
Dahhh mungu atunusuru..
Unaijuwa vizuri google translate?
ILLU SAMAHANI kama wewe ni ke umeandika ukweli halisia Bila Upendeleow wowote please nina muda mrefu sijona ukweli huu toka kwa mwanamke,please nataka nikupe complimentary I will send some credit via PM for 2 networks TIGO&ZAIN.FOR 6 MONTHS KESHO. UR OPEN SPEAKING FOR BOTH SIDES.
Nitumie number za vocha fasta basi...ila zisiwe feki
Siijui, ikoje kwani??
Kazi ipo wala si utani..!sure thing man..... i have a friend just y`day she told me she found out her hubby is gay n she stayed away coz he use to demand 0712 and he is well off and successful person... much worse is, its just 1 year since they got married and she wants a divorce as soon as by yesterday ......... tell me now, where can we find good hubby materialll... men talk to me pliz:angry::A S 109::hail::hail: and GOD help us.