Husninyo
Platinum Member
- Oct 24, 2010
- 24,167
- 10,226
Ndio tatizo lenu hili huwa amuangalii kesho.
Sisi wanaume huwa tunawasanifu tukiona wanawake wanajali pesa kuliko materials aliyonayo kichwani mwanaume.
Nikuibie tu siri wanaume wajanjawajanja wapigaji misheni town huwa tunawajuwa mpaka mwisho wao kwamba huyu atatamba wee mjini lakini miaka miwili mingi ni lazima afurie na mapenzi yanaishia hapo.
Siku zote mtu aliyeinvest kwenye brain na maarifa hata akiwa hayuko vizuri ni lazima atatoka kimaisha, tatizo siku hizi hamtaki kuanza moja na mwanaume mtafute wote maisha.
Nb: bandiko langu halina uhusiano na aliyetoa offer ya vocha.
mmmh shem! wanaume kizungumkuti. mambo yakuanza from zero sijui -ve hapana. mnaanza wote mambo yakinyooka unawekwa kando raha anakula mwingine.