Good and bright Tanzanian--Got Telecom Award

Good and bright Tanzanian--Got Telecom Award

wabongo tunachekesha kweli

godfrey said:
I have developed the system based on the
approaches that were initially implemented by the
different governments on electronic elections

mpaka hapo hio sio inovation kama alivosema mwenyewe kua amedevelop hio software kwa kucopy software za wenzake ambao walidevelop katika nchi zao.

Ina maana mfano kama amecopy ya marekani uchaguzi wetu utakua kama wa marekani je kuna inovation au kuna ''me too aka wanabee''?
lol kwa upuuz huu watu wanajifananisha na bill gate.

tHIS IS TANZANIA BWANA.

Yani ile software ya nyasiro ya ya kucalculate division ni ndogo ila ni mara mia bora kuliko hii
 
Back
Top Bottom