Gongo la mboto in pictures....

God forbid! there goes Gongolamboto! Next Lugalo! We never learn!
 
yale ya mbagala walisema mabomu tanzania itakua historia je haya watasemaje?
 
Mola awape moyo wa subira wale wote waliopatwa na madhara
 
sasa ni muda muafaka kuiondoa serikali madarakani kwani imeshindwa kutulinda raia wake...........
 
Ilianza Mbagala, now Gongo la Mboto, next ni Lugalo, Kunduchi au....??
Lazimz tuwajibishe watu hapa hili haliwezi kupita tuu bure.
Wanajamii tutoe modality ya jinsi ya kuwawajibisha watendaji na wasimamiaji ulinzi wa nchi hii.
 
 
Last edited by a moderator:
Inakatisha tamaa,Mungu awape neema wote waliokutwa na ajali hii!
 
Oooh My . . . .

Poleni sana ndugu zetu wote mlioadhirika na hili Janga.

Mpaka lini wanataaluma watanzania watajua wajibu wao wa kuzuia majanga kama haya simply by doing their part professionaly?

wasitake kutuambia kuwa hakuna bajet hata katika masuala nyeti na sensitive yanayohusu uhai wa watu.

Someone must be responsible.

Regards

SM
 
Tanzania Tanzania.......
Nakupenda kwa moyo wote
Nchi yangu Tanzania
Jina lako ni Tamu sana!

Nilalapo nakuota wewe,
Niamkapo napigwa mabomu...

Mungu libariki Jeshi letui!
 
The primary role of any government,any government is to protect its citizens!!What the hell about our govt???Do we need a commission to destroy the outdated army equipment??Why dont we learn through mbagala explosions???Now its a time to initiate a search on every military camps and identify all outdated/expired army equipment and destroy them NOW i mean ASAP.
Do we need extra man power or experts from abroad to do this simple job???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…